Analog
JF-Expert Member
- Apr 4, 2024
- 323
- 618
Ndugu zangu nani asiyejua wanaume tunachukuliwa na wimbi la bahari kwa kasi ya ajabu, nani asiyejua wanaume mashoga wanakuongezeka kila leo, nani asiyejua tunapoteza uwezo wetu wa kimaumbile kwa spidi ya kutisha.
Nawaza, hivi ni kweli wanaume tutasakwa kwa tochi?... itakuwaje kwa dada zetu hali zao, je ndo watatumia midoli ama watapigana vikumbo na wanawake wenzao kwa kutafuta mwanaume.
Nawaza, kwa hakika itakuwaje dunia bila ya mwanaume, itakuwaje kwa vizazi vyetu hapo baadae.
Dunia itakuwa katika hali gani baada ya miaka 30?
Poleni sana dada zangu tutawaacha kwenye ugomvi baada ya wenyewe kwa wenyewe.
Kwa hakika yajayo yanatisha.