Vitengo vya habari viwe makini katika video na picha za Rais zinazotumwa kwa jamii

Vitengo vya habari viwe makini katika video na picha za Rais zinazotumwa kwa jamii

Sasa wanawateua watu huko upande wa media wanawaokota mitaani
Kujuana jana,unategemea nini!

Ova

..Teknolojia haiaminiki kwa 100%.

..Tukio kama hili, teleprompter malfuction, liliwahi kumtokea Raisi Bill Clinton ktk hotuba muhimu ya mwaka ya Marais wa Marekani inaitwa " State of the Union address. "

..Lakini kwasababu Bill Clinton ni kichwa kwelikweli na alishiriki ktk kuandaa hotuba hiyo aliweza kuendelea na hotuba mpaka telemproter iliporekebishwa.

..Lawama kubwa zaidi ziende kwa Dk.Ssh kwa kutojiandaa kabla ya kutokea mbele ya cameras. Kwanza hakutakiwa atoe hotuba kwa kusoma neno baada ya neno kwenye teleprompter. Pili alitakiwa awe na notes pale ktk podium. Tatu kwa ngazi ya uongozi aliyofikia Dk.Ssh anatakiwa awe na uwezo wa kutoa taarifa nzima bila notes, na bila teleprompter.
 
..Ssh uwezo wake ni mdogo.

..labda afungiwe ndani asionekane kabisa lakini vinginevyo lazima uwezo wake mdogo utathibitika mbele ya wananchi.

..Ssh alitakiwa awe na notes wakati akitoa taarifa ya msiba wa Mzee Mwinyi, lakini badala yake akaandikiwa neno kwa neno asome.

..Kilichotokea ni ajali ya Teknolojia ktk jitihada za kuficha uwezo mdogo wa DOKTA Ssh.

Cc Nguruvi3
Kuku wewe. Wewe hata familia yako ya 4 umeshindwa kuiongoza. Mh Samia anaongoza mijanadume mil 60 na kuungoza
 
..Ssh uwezo wake ni mdogo.
..labda afungiwe ndani asionekane kabisa lakini vinginevyo lazima uwezo wake mdogo utathibitika mbele ya wananchi.
..Ssh alitakiwa awe na notes wakati akitoa taarifa ya msiba wa Mzee Mwinyi, lakini badala yake akaandikiwa neno kwa neno asome.
..Kilichotokea ni ajali ya Teknolojia ktk jitihada za kuficha uwezo mdogo wa DOKTA Ssh.

Cc Nguruvi3
Taarifa ilikuwa fupi sana hata notes za mistari 3 zingesaidia sana. Wasaidizi walitakiwa wajue madhaifu sijui kwanini
Kama ulivyosema udhaifu umekuwa upembe wa n'gombe!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Khaaa. Bongo kufa na stress labda upende mwenyewe. Hakika hii ni burudani
Labda anahisi JF ni kwa ajili ya binadam tu.... Hata sisi WAFU tupo JF 😁😁😁😁😁.
 
Labda anahisi JF ni kwa ajili ya binadam tu.... Hata sisi WAFU tupo JF 😁😁😁😁😁.
#Nyafwili ni kama lina welekeo wa majina ya watu fulani wa kanda ya ziwa vile. By the way, "you made my day"
 
Back
Top Bottom