Vitengo vya habari viwe makini katika video na picha za Rais zinazotumwa kwa jamii

Vitengo vya habari viwe makini katika video na picha za Rais zinazotumwa kwa jamii

Jumbe Jeupe kumejaa vilaza tu. Wanajua kabisa upeo wa kiongozi wao halafu wanafanya tangazo live. Huyu ilipaswa apewe nakala ya anachopaswa kutangaza kuanzia saa 5.30 akariri halafu ikifika muda wa record, ihaririwe na ndio irushwe hewani lakini sio kumuweka mubashara.
Ben hajawahi kufanya ujinga kama huu
 
Kama ni hivyo, basi kumbe hata wewe #Mlabata ni mwongo na mjanja mjanja. Hata comment yako ni uongo. Hata mimi ninachoandika hapa ni uongo😭😭😭😭😭
Nchi hii hata jumba jeupe wamechoka yan wameona hiki kituko kirushwe tuu watanzania watasahau. Hata mi ninae andika nimechoka yani
 
Zipo ktk mitandao. Wanachadema washaanza kuzitumia kwenye X

..Ssh uwezo wake ni mdogo.

..labda afungiwe ndani asionekane kabisa lakini vinginevyo lazima uwezo wake mdogo utathibitika mbele ya wananchi.

..Ssh alitakiwa awe na notes wakati akitoa taarifa ya msiba wa Mzee Mwinyi, lakini badala yake akaandikiwa neno kwa neno asome.

..Kilichotokea ni ajali ya Teknolojia ktk jitihada za kuficha uwezo mdogo wa DOKTA Ssh.

Cc Nguruvi3
 
Back
Top Bottom