Vitengo vya habari viwe makini katika video na picha za Rais zinazotumwa kwa jamii

KIjana acha ushamba, hapo Rais yuko live na anahutubia kwa kusoma maneno yanayopita mbele ya Camera... Aliyeandika au kuandaa hayo maneno ndio kakosea na kumuingiza chaka Rais, kupelekea kusoma atazikwa tarehe 2 ndipo Rais akashituka kuwa Mwinyi ni Muislamu anapaswa Kuzikwa Leo Tarehe 1...

Hotuba uwa ni Live, na Rais anasoma kwenye Screen inayopitisha maneno
 
usitake kutusanua kuwa raisi ni Kasuku tulikuwa hatujui
 
KIjana acha ushamba, hapo Rais yuko live na anahutubia kwa kusoma maneno yanayopita mbele ya Camera... Aliyeandika au kuandaa hayo maneno ndio kakosea na kumuingiza chaka Rais, kupelekea kusoma atazikwa tarehe 2 ndipo Rais akashituka kuwa Mwinyi ni Muislamu anapaswa Kuzikwa Leo Tarehe 1...

Hotuba uwa ni Live, na Rais anasoma kwenye Screen inayopitisha maneno
Angemalizia tu kusoma marekebisho yangetangazwa baadae kuliko hicho kioja kilicho fanyika
 
Jumbe Jeupe kumejaa vilaza tu. Wanajua kabisa upeo wa kiongozi wao halafu wanafanya tangazo live. Huyu ilipaswa apewe nakala ya anachopaswa kutangaza kuanzia saa 5.30 akariri halafu ikifika muda wa record, ihaririwe na ndio irushwe hewani lakini sio kumuweka mubashara.
 
Back
Top Bottom