Vitu gani unaona wengine wanafanya au wanamiliki ila wewe hujawahi?

Mamy i miss you...

Oky kwenye mada kiufupi zamani nilikua nafikilia mademu wa kikurya ni very harshly kumbe laa hasha sasa katika harakat harakat zangu leo nimejiokotea lishangazi la kikurya mwanzoni nilikua naona kumilik ni ngumu ila alhamdullilah leo naenda kulikata shanga....

Mama ukiona kimya usishangae jua tayari huku.. hapa mziki mkubwa feni kwa sana an hakuna kupoa...

Asbh nimeamka na vitunguu swaumu na tangawz na push up kama 7k hvi...
 
Namba 5 ndio cha uongo πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Ila wewe mtoto πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kwamba mshangazi wa kikurya unakubebisha mpaka huamini macho yako.

Piga kazi mwanangu, ichape mpaka aondoke anachechemea πŸ˜… πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…