Vitu gani vidogo vidogo vinakufurahisha kwenye maisha?

Vishu vishu
😂😂😂😂😂😂😂 Mbna unafanya maisha yangu jf humu yawe magumu mkuu an kila pande zinazohusu haya mambo lazima uje uniwakilishe as if ww upendi hayo mamama
Mi nilishakwambia ni muwakilishi wako hapa, ni kama meneja wako.

Usipokuwepo nipo, ikitokea connection ya jimama hakyanani siachi kukupa pande mwanangu.

Shida yako kubwa ni kua huna shukrani, pamoja na kukupa mapande kibao ya mijimama ya miaka miaka 70+ bado unananikandia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…