Vitu gani vidogo vidogo vinakufurahisha kwenye maisha?

Sisi tunakaa kijijini ile mwanamke amekuelekeza atakuja usiku eneo fulani, ile miti inapopepea gizan nikazan ni yeye kumbe siye huwa napenda na huwa nafurahi kuliko mara paa huyo anakuja ile raha huwez kufananisha na chochote.
 
Kulala, kujilaza🀣 Kuvaa nguo chache mwilini baada ya mihangaiko ya siku nzima🀣 na kuwa peke yanguu
 
Kusaidia watu nisiowajua. I feel completely satisfied when helping strangers, because there's no any attachment between us.
 
Kula mzigo kwenye AIR CONDITION na bia kadhaa, huku chupa ya bia nikiiweka juu ya tako la mrembo
 
Kile kitendo cha mrembo kusema nielekeze ndio nimechukua bolt hapa, ama ninakuja lakini sikai, ama nimefika njoo ulipie ama wakati anavua pants anasema sio kwamba unanichezea wewe? Unanipenda kweli?
 
Kile kitendo cha mrembo kusema nielekeze ndio nimechukua bolt hapa, ama ninakuja lakini sikai, ama nimefika njoo ulipie ama wakati anavua pants anasema sio kwamba unanichezea wewe? Unanipenda kweli?
Sawa, naona maandalizi ya kuila tamu yanakufurahisha πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…