Vitu gani vya kuzingatia hasa unapofanya biashara ya uuzaj wa mayai ya kisasa?

Unayaweka kwenye maboksi unaweka na pumba za mpunga au maranda ila wanaouza wanajua jinsi ya kuyapanga ili yasivunjike ila hapo kwenye joto ndiyo Sina uhakika maana Singida na Dar parefu.
 
Naomba kujua namna ya kufanya biashara ya mayai kutoa singida nakuleta Dar... jinsi ya kupaki bila kuvunjika,

Niliwahi kumuona jamaa mmoja kwenye Youtube anaelezea jinsi anavyo fanya biashara hiyo, anasafirisha mayai toka singida to Dar. Kwa maelezo yake alisema mwanzoni alikuwa anasafirisha kwenye maboksi yanayojazwa pumba lakini mayai yalikuwa yanavunjika, baadae akawa anapanga kwenye tray za mabox anasafirisha mayai hayavunjiki. ila kuna upangaji wake. Nakushauri utafute hiyo video Youtube (nimesahau link) itakusaidia sana.
 
Kusafirisha mwnyewe huwez Gharama inakuwa kubwa sana mi mwnyewe naiaza hii biashara soon tu kuna rafik yangu anafanya ndo naungana nae ila ni ya kisasa kuyatoa Dar kupeleka Masasi kinachofanyika kuna kama wakala mnakubaliana we unampa hela tu jinsi ya kusafirisha anajua yy cz unakuwa haupo peke yako mnakuwa kama watu kadhaa unapigiwa tu Cm kam gar inaondoka saa ngp na wakifika wanakushushia mzigo wako kuna maelezo mengine ukinitafuta napo itakuwa vzr kwa faida yako
 
Kusafirisha mwnyewe itakugharimu sana mi mwnyewe nategemea kuchukua mzigo soon nina rafik yangu anafanya biashara hizo ila ya kisasa anayatoa dar kupeleka Masasi, kinachofanyika kuna kama agent we mnakunaliana sh ngap mzigo unaletewa sehemu uliyopo mnakuwa watu kama wangap hivi ndo wanavofanya sema kuna maelezo mengo ukipenda unaweza nitafuta kwa faida yako na wao wanajua mabovu yepi wanavopaki kwnye trey
 
Habari ndugu zangu wanaJF.
Ni member mpya katika ulimwengu huu wa JF.
Nahitaji mtu wa kunipa ushauri, somo zaidi na ikiwezekana kupata soko la uhakika la mayai (Kienyeji na Kisasa).
Nataka kuanza biashara hii maana nilipo mayai yanapatikana kwa urahisi ila nimeona nipate ushauri kwanza.

I'm waiting for your replies ndugu zangu.
0769321005
 
Kusafirisha mwnyewe huwez Gharama inakuwa kubwa sana mi mwnyewe naiaza hii biashara soon tu kuna rafik yangu anafanya ndo naungana nae ila ni ya kisasa kuyatoa Dar kupeleka Masasi kinachofanyika kuna kama wakala mnakubaliana we unampa hela tu jinsi ya kusafirisha anajua yy cz unakuwa haupo peke yako mnakuwa kama watu kadhaa unapigiwa tu Cm kam gar inaondoka saa ngp na wakifika wanakushushia mzigo wako kuna maelezo mengine ukinitafuta napo itakuwa vzr kwa faida yako
Ni PM mkuu.
Wazo safi nashukuru,
 
Niliwahi kumuona jamaa mmoja kwenye Youtube anaelezea jinsi anavyo fanya biashara hiyo, anasafirisha mayai toka singida to Dar. Kwa maelezo yake alisema mwanzoni alikuwa anasafirisha kwenye maboksi yanayojazwa pumba lakini mayai yalikuwa yanavunjika, baadae akawa anapanga kwenye tray za mabox anasafirisha mayai hayavunjiki. ila kuna upangaji wake. Nakushauri utafute hiyo video Youtube (nimesahau link) itakusaidia sana.
Ahsante Mkuu.
Jina la Hiyo Clip km unakumbuka plz
 
Nashukuru kwa walinipa ushauri kipindi kile.
Sikuweza kuanzisha ile biashara kwani baada ya mtokeo kutoka nilipata ufaulu mzuri na sasa nipo nje ya nchi kimasomo.
[HASHTAG]#Turkey[/HASHTAG]
 
Trey nauza sh. Elf 13 ya kienyeji na sh.7000 ya kisasa Niko mbeya karibu mteja
 
Back
Top Bottom