Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsanteeUnayaweka kwenye maboksi unaweka na pumba za mpunga au maranda ila wanaouza wanajua jinsi ya kuyapanga ili yasivunjike ila hapo kwenye joto ndiyo Sina uhakika maana Singida na Dar parefu.
Naomba kujua namna ya kufanya biashara ya mayai kutoa singida nakuleta Dar... jinsi ya kupaki bila kuvunjika,
Kusafirisha mwnyewe huwez Gharama inakuwa kubwa sana mi mwnyewe naiaza hii biashara soon tu kuna rafik yangu anafanya ndo naungana nae ila ni ya kisasa kuyatoa Dar kupeleka Masasi kinachofanyika kuna kama wakala mnakubaliana we unampa hela tu jinsi ya kusafirisha anajua yy cz unakuwa haupo peke yako mnakuwa kama watu kadhaa unapigiwa tu Cm kam gar inaondoka saa ngp na wakifika wanakushushia mzigo wako kuna maelezo mengine ukinitafuta napo itakuwa vzr kwa faida yakoNaomba kujua namna ya kufanya biashara ya mayai kutoa singida nakuleta Dar... jinsi ya kupaki bila kuvunjika,
Ni PM mkuu.Kusafirisha mwnyewe huwez Gharama inakuwa kubwa sana mi mwnyewe naiaza hii biashara soon tu kuna rafik yangu anafanya ndo naungana nae ila ni ya kisasa kuyatoa Dar kupeleka Masasi kinachofanyika kuna kama wakala mnakubaliana we unampa hela tu jinsi ya kusafirisha anajua yy cz unakuwa haupo peke yako mnakuwa kama watu kadhaa unapigiwa tu Cm kam gar inaondoka saa ngp na wakifika wanakushushia mzigo wako kuna maelezo mengine ukinitafuta napo itakuwa vzr kwa faida yako
Ahsante Mkuu.Niliwahi kumuona jamaa mmoja kwenye Youtube anaelezea jinsi anavyo fanya biashara hiyo, anasafirisha mayai toka singida to Dar. Kwa maelezo yake alisema mwanzoni alikuwa anasafirisha kwenye maboksi yanayojazwa pumba lakini mayai yalikuwa yanavunjika, baadae akawa anapanga kwenye tray za mabox anasafirisha mayai hayavunjiki. ila kuna upangaji wake. Nakushauri utafute hiyo video Youtube (nimesahau link) itakusaidia sana.
Hao wapo tu. 0 brainHuu mwaka mpaka watu wataugua uchizi.
jamaa kafanya upanchauko seriouz man
Huyu bado anauza mayai kwa jumla?Mpigie +255713564785 atakupatia mayai kwa bei nzuri.
Ukihitaji vifaranga vya kuku au kware pia atakupatia.
Asante