Vitu hivi vinamaliza pesa bila sababu za msingi, fanya hivi kuepukana navyo

Vyote nakubaliana navyo isipokuwa dawa ya kuongeza nguvu.

Mfano ukinunua dust ya 3,000 unaweza kutumia hata wiki moja au mbili labda kama huwezi kupaka.
Ile unapaka sehemu ndogo tu kwenye proximity sensor sio mtwangio mzima.
 
hitimisho lako lipo poa lakini maliza mchezo wote gharama ya simu ianzie shilingi ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…