Vitu/vifaa gani ulivinunua kwa mihemko na umejikuta huvitumii kabisa?

Nilinunua headphone zile kubwa za Oraimo nikaishia kuzitumia mara moja tu!
Nilikuja kugundua sio mambo yangu umri ushanitupa maana nilisafiri mara moja tu ndo nikazitumia!

Niliponumua pods ndogo ndo nikaona hazina maana kabisa!
 
Pods hazina noma. Me napenda ikiwa sikioni hata kama uko mbali na cm unasikia kasauti una notification wapi nk
 
Nilinunua condoms na situmii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…