Vituko kutoka kwenye Makanisa ya Kilokole -Tupia chako

Ukitaka kuona nyumba za ibada sio biashara bali ni huduma,na wewe anzisha lako uone kama hujasali wewe na mkeo.
Nani asiyetaka pesa?
Tuache dharau zisizo na msingi wowote. Yule padri kamaro wa chuo kikuu naye alikuwa wa kanisa la walokole?
Kwa waislam wale maimamu wanaotajwa mitandaoni kubaka watoto wa madarasa nao ni walokole?
Kuna madhaifu ya mtu kama mtu, na mifano ipo kwenye vitabu vitakatifu.
Kama mtu huitaji ibada hulazimishwi,tulia nyumbani utakuwa hujavunja sheria ya nchi na hakuna atakayekubughudhi
 
Vipi kule zanzibar,wafuasi wa maalim seif nao ni wakristo wote?
Wakishauawa yeye anaitwa kuunda serikali ya mseto,na hii imetokea mara mbili
hiyo imekaaje?
 
Kanisa lake lipo Tabata Kisiwani na mimi ndio mzee wa kanisa. Karibu sana jumapili hii.
Nyiii nanyi mnachanganya watu mara manzese tip top mara tabata tuamini lipi sasa
 
Hili kanisa miaka ya nyuma ilifanyika seminar. Sasa kwenye ile seminar akaja mhubiri akaanza kazi. Alichokinena ile siku sikuweza kumaliza seminar nikaondoka.
Alihubiri kuhusu mambo ya ndoa lakini mara akaanza kusema "Unajua wanawake wana maumbile tofauti. Wanaume wanatakiwa waelewe hili...kuna *mnato, ****ya moto, * bwawa, mbano na vingine vizito sana ambavyo si hekima kuviongea kwenye mimbara. I was devastated nikasema huku ndo tulipofikia. Halafu mtumishi alikua kanyoa bonge la kiduku sijui kijogoo nikasema em nisepe sitaki dhambi
 
Vipi kule zanzibar,wafuasi wa maalim seif nao ni wakristo wote?
Wakishauawa yeye anaitwa kuunda serikali ya mseto,na hii imetokea mara mbili
hiyo imekaaje?
Sasa apo umekuja kwenye siasa,, na hapa hatuzungumzii siasa. Huyo maalim seif lini ulisikia kaenda msikitini kawaambia waislam yeye kashukiwa na upako kwa hiyo wakapigane. Hao wanaomkubali yeye hamkubali kwa ajili ya dini yake ni sababu ya chama chake, ingekuwa hivyo kwa ajili ya dini basi zanzibar yote ingemkubali lkn kumbuka kuna vyama vingine kule na vina wafuasi wengi tu ni waislam vile vile.
 
Hao wanaodaganywa kwenye siasa sio hao hao waendao msikitini?. Kama fix wanapigwa siasani vipi likitokea njemba msikitini hawatokwenda na maji?.
 
Hao wanaodaganywa kwenye siasa sio hao hao waendao msikitini?. Kama fix wanapigwa siasani vipi likitokea njemba msikitini hawatokwenda na maji?.
Jaribu wewe siku moja nenda msikitini waambie mm nimeoteshwa nimeshukiwa na upako natoa maji ya baraka tena bure sio kwamba unauza kisha ulete mrejesho. Tatizo unashindwa kutofautisha dini na siasa,, mimi na wewe tunaweza kuwa dini tofauti lkn kwenye chama tupo pamoja, naweza nikakupigia kura wewe lkn yule wa dini yangu nisimpigie kwa sababu labda tunagombania mwanamke mmoja. Ila linapokuja suala la magumashi ndani ya msikiti lazima bakora zitembee. Msikitini hamna magumashi. We unayaonaje maisha ya muft mkuu wa waislam Tanzania nzima na maisha ya gwajizo foshizoπŸ˜„ ambaye ye ni mtu mmoja tu kaanzisha kanisa lake ukitaka kujua huko kwenu kuna magumashi na upigaji wa kufa mtu.
 
Mm nmeangalia mkuu
 
SHARIFU MAJINI ANAUZA HADI MAFUTA NA HAMUMFANYI KITU
 
Mbalizi huku
Mkuu....nimeishi sana mitaa hiyo...
Ni kipande ipi???

Tarafani,
Tazara,
Mapelele(Bua)
DDC,
Mbalizi 1
Mbalizi 2
Shigamba,
Mtakuja,
ZZK,
Kabale,
Mwashiwawala,
Iwindi, au
Mlimareli
Nsalala
Ngoja nije tuongee vizuri
 
Mkuu....nimeishi sana mitaa hiyo...
Ni kipande ipi???

Tarafani,
Tazara,
Mapelele(Bua)
DDC,
Mbalizi 1
Mbalizi 2
Shigamba,
Mtakuja,
ZZK,
Kabale,
Mwashiwawala,
Iwindi, au
Mlimareli
Nsalala
Ngoja nije tuongee vizuri
Mbalizi 2 mkuu
 
Mkuu hakuna taasisi inayoongoza kwa sasa kwa utapeli wa mahusiano na ndoa kama hawa wanaojiita watumishi. Haswa zaidi waliookoka ni matapeli wa mapenzi hata ukiwa nao kwenye. Mahusiano atakuambia uchumba ni mpaka mungu amuonyeshe kumbe ana mademu wengi huko kanisani wananyanduana kwa siri. Ni wazinzi balaa.ukitaka mahusiano safi yenyewe afya kaa mbali na watumishi. Wengi wao sio marafiki wazuri kwenye mahusiano wengi ni wagonjwa pia
 
Wanawake wengi wa kilokole wanawapenda na kuwaheshimu wachungali wao kuliko waume zao.

We fikiria unamwambia naomba nipikie anakujibu, "mchungaji kasema tuwahi kanisani"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…