Vituko nilivyowahi kuviona kwenye sahili (interviews) vya kukatisha tamaa

Ngum sanaa.

Kuna interview flan pale pale Duce ilikua na maswali 50 ya multiple choice kila swali marks 2% yamekuja matokeo nina 35% πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nilistaajab sanaaa how come napata 35% na si 34% au 36%
🀣🀣kuna chaguo ulipata nusu 🀣🀣,hawatumii hata akili kudanganya.
 
Teh teh teh teh 🀣 🀣🀣 umenivunja mbavu mkuu haaa haaa πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
🀣🀣🀣Kuna mambo yanachekesha kama mazuri vile.🀣🀣🀣
 
ulifanya jambo jema sana ubarikiwe.
 
Inaonekana Kama wewe Ni mdau unayeendesha usaili kwenye hizi taasisi zetu. Yaani mmoja wa wafaidika wa haya mambo.
 
Kwenye usaili wa Oral, msaili anajifanya kupitia pitia makaratasi fulani halafu akaniuliza kama nipo tayari kufanya kazi kwa ufasaha kwenye kampuni yao nikaitikia kwa kujiamini na uchangamfu wa hali ya juu, akasema kazi nimepata ila nikitoka niende moja kwa moja Peacock Hotel nimsubiri hapo atanipa maelekezo zaidi akifika, lol sijui aliniona Mtoto (enzi hizo nilikua bado binti), nikamuitikia kwa tabasamu la unafki, nikatoka na hasira zangu hadi nyumbani nikamuhadithia Mume wangu yaliyonikuta hiyo ndio ilikua interview yangu ya mwisho, mpaka leo nimejiajiri na kuajiri wengine alhamdulillah.
 
P Walishaliwa siku nyingi sana. Is
 
Hahahaha interview kunakuwaga na ufala sana
 
Mmoja wa delinquent member wa JF ni wewe, soma tena uelewe wapi nimeandika hayo uliyoyaandika?,mpumbavu na I can't help labda ungekua mjinga ningekuelewesha,uchunguzi wa tigo ni mmoja ya vigezo kabla hujapita kuwa jet fighter pilot cadet
Mkuu mbona umekuwa mkali wakati umesema mwenyewe umeliwa tigo na wachina kwenye usaili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…