Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,374
- 6,857
Sana lakini ndoivo sikuchoka kupambana mpaka nikaingia SerikaliniSipati picha ulivyo vunjika moyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana lakini ndoivo sikuchoka kupambana mpaka nikaingia SerikaliniSipati picha ulivyo vunjika moyo.
Aisee nchi hii ngumu.😂😂 ahsante mkuu ..mpaka nashangaa why was i hustling with applications?
Ndio maana tunasema vijana wasikate tamaa.Sana lakini ndoivo sikuchoka kupambana mpaka nikaingia Serikalini
Ngum sanaa.Aisee nchi hii ngumu.
🤣🤣kuna chaguo ulipata nusu 🤣🤣,hawatumii hata akili kudanganya.Ngum sanaa.
Kuna interview flan pale pale Duce ilikua na maswali 50 ya multiple choice kila swali marks 2% yamekuja matokeo nina 35% 😂😂😂😂😂 nilistaajab sanaaa how come napata 35% na si 34% au 36%
Teh teh teh teh 🤣 🤣🤣 umenivunja mbavu mkuu haaa haaa 😄😄😄Ni wiki Tatu zilizopita niliitwa kwenye Interview KCB BANK MAKAO MAKUU DAR nafasi ya CORPORATE AFFAIRS MANAGER,kufika pale tupo Wasailiwa 12 na mmoja yeye anafanyia Usaili akiwa Mwanza(huyu ni staff wa KCB BANK MWANZA)!!![emoji1787]na katika 11 tulio Dar Wasailiwa wawili nao wadada ni wa palepale ndani KCB BANK Maka Makuu[emoji1787]Usaili tuliambiwa saa 8 mchana lakini ukaanza saa 10 jioni(ilikuwa ni Written Interview).Yaani tangu tumefika pale wale wadada(wa HR na Head wa Communications)wakawa wanajizungushazungusha weeee nikajua tu hapa USANII unachezwa!!!kuja kuleta hiko ki-swali Chao chenyewe eti (I)WHAT IS EVENT PLANNING??(II)PROCEDURES ZA EVENT PLANNING(III) EXPLAIN SHORTY ON THOSE PROCEDUCES OF EVENT PLANNING??
yaani ni ki-swali ambacho nilikijibu ndani ya dakika 10 japo wao walisema dakika 30!!!juzi napokea Email kutoka kwa huyo Dada HR anaitwa MONDE LUSHAKO eti nilipata below PASS MARK hivyo sijachaguliwa kwa Oral nilicheka mpaka nikapaliwa na Wine yangu!! [emoji1787][emoji1787] yaani ni wasanii walikuwa na mtu wao wahuni wale[emoji1787][emoji1787]na mimi nina uhakika kile ki-swali chao nilikipata chote 100 kwa 100!!nilimjibu kwenye Email yake kwamba WAMUOGOPE MUNGU na waache tabia ya kusumbua watu waje kwenye Interview wakati nafasi tayari wana mtu wao!!!hebu imagine wengine mpo Dar mnafanya Interview na mwingine(staff wa ndani KCB Bank humohumo) anafanyia Usaili akiwa Mwanza peke yake [emoji1787][emoji1787]na kwa tuliofanyia Dar tulifanya pia na wadada wawili wa palepale KCB BANK tena wakiwa na Uniform za KCB [emoji1787][emoji1787]Nchi ngumu sana hii
Yan nilichokaa balaaa🤣🤣kuna chaguo ulipata nusu 🤣🤣,hawatumii hata akili kudanganya.
Ngum sanaa.
Kuna interview flan pale pale Duce ilikua na maswali 50 ya multiple choice kila swali marks 2% yamekuja matokeo nina 35% [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilistaajab sanaaa how come napata 35% na si 34% au 36%
🤣🤣🤣Kuna mambo yanachekesha kama mazuri vile.🤣🤣🤣Ni wiki Tatu zilizopita niliitwa kwenye Interview KCB BANK MAKAO MAKUU DAR nafasi ya CORPORATE AFFAIRS MANAGER,kufika pale tupo Wasailiwa 12 na mmoja yeye anafanyia Usaili akiwa Mwanza(huyu ni staff wa KCB BANK MWANZA)!!![emoji1787]na katika 11 tulio Dar Wasailiwa wawili nao wadada ni wa palepale ndani KCB BANK Maka Makuu[emoji1787]Usaili tuliambiwa saa 8 mchana lakini ukaanza saa 10 jioni(ilikuwa ni Written Interview).Yaani tangu tumefika pale wale wadada(wa HR na Head wa Communications)wakawa wanajizungushazungusha weeee nikajua tu hapa USANII unachezwa!!!kuja kuleta hiko ki-swali Chao chenyewe eti (I)WHAT IS EVENT PLANNING??(II)PROCEDURES ZA EVENT PLANNING(III) EXPLAIN SHORTY ON THOSE PROCEDUCES OF EVENT PLANNING??
yaani ni ki-swali ambacho nilikijibu ndani ya dakika 10 japo wao walisema dakika 30!!!juzi napokea Email kutoka kwa huyo Dada HR anaitwa MONDE LUSHAKO eti nilipata below PASS MARK hivyo sijachaguliwa kwa Oral nilicheka mpaka nikapaliwa na Wine yangu!! [emoji1787][emoji1787] yaani ni wasanii walikuwa na mtu wao wahuni wale[emoji1787][emoji1787]na mimi nina uhakika kile ki-swali chao nilikipata chote 100 kwa 100!!nilimjibu kwenye Email yake kwamba WAMUOGOPE MUNGU na waache tabia ya kusumbua watu waje kwenye Interview wakati nafasi tayari wana mtu wao!!!hebu imagine wengine mpo Dar mnafanya Interview na mwingine(staff wa ndani KCB Bank humohumo) anafanyia Usaili akiwa Mwanza peke yake [emoji1787][emoji1787]na kwa tuliofanyia Dar tulifanya pia na wadada wawili wa palepale KCB BANK tena wakiwa na Uniform za KCB [emoji1787][emoji1787]Nchi ngumu sana hii
Na hii ndio ikawa interview yangu ya mwisho...sikuwah tena kuomba kazi za serikali mpaka leo na mpaka nitaingia kaburiniyaani ni kwaba ilikuwa ni lazima ufeli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ulifanya jambo jema sana ubarikiwe.2008 kuna jamaa tulikutana kwenye usaili wa JKT . Dogo kwa muonekano alitokea familia flani ivi duni afu za kidini sana mana alikuwa mnyenyekevu mpaka anaboa . Mimi tayari uhakika wa kupita ulikuwepo japo sikupenda kuwa mjeshi hivyo nilifata maelekezo tu.
Basi dogo umefika muda wakuhojiwa akatumwa sigara ile anarudi anaambiwa kachelewa dogo alilia mpaka makamasi kumbe ashaliwa pesa kibao toka wilayani then mkoani anakaziwa kijinga afu bosi mmoja akamwambia amepunguwa urefu fut3 wakati toka mwanzo ashapimwa na akapita. Dah! Ile hali ilinigusa sana nikajaribu kumshauri na kumpa moyo ndo akanambia kuwa mama yake kawekeza Sana ili ye aende jeshi mpaka kauza baadhi ya vitu vyake kuweka mazingira sawa. Basi nilichokifanya nikaongea na wakubwa walotamani niende jeshi kuwa me sivutiwi kwenda jeshi ila nafasi yangu kuna mtoto wamsaidie, basi wakanielewa wakampitisha ,aisee dogo hajaniangusha kapambana mpaka akapata nafasi na leo ni miongoni mwa connection zangu zinazonifanya nivimbe mjini apa.
My point : kama ipo ipo tu msikate tamaa ukiona umekosa ujue sio liziki yako ila kama ni liziki yako itakuja kwa njia yyt ile
Hakika mkuu,mtu akiingia kwa connection nzito hawezi kujali kazi kiviiile kwa kuwa hakuipambania na anajua hakuna wa kumtoa.
Ukipitia hii thread unaendelea kugundua sababu za kukosekana kwa ufanisi katika ofisi nyingi nchini, hasa za Umma.
Inaonekana Kama wewe Ni mdau unayeendesha usaili kwenye hizi taasisi zetu. Yaani mmoja wa wafaidika wa haya mambo.Wew unajijua kabisa unakwenda kweny hayo mainterview sjui maupuuzi gan alafu unaanza kujitayarisha as if umeshapata confirmation ya ajira kumbe hata usahili hujafanya[emoji23][emoji23].
Kilichokuuma ni ile furaha uliyoitanguliza badala ya uhalisia wa kuwa ungeenda huko kwenye ushindani wa kukosa ama kupata
Connection zipo muda wote na kila siku humu tunawakumbusha kama huna haya mambo
[emoji117]connection
[emoji117]uchawi
[emoji117]pesa ya rushwa
Basi kutoboa kwenye hizo ishu SAHAU yaan kiufupi fanya ishu zingine[emoji23]
Ili ni la muhimu sana,mie sasaivi ikitokea interview naadaa mpunga wangu natafuta mtu wa karibu na iyo taasisi namlambisha pesa ya kula kwa urefu wa kamba yake tuMtoa mada siku zote nyoosha mkono usiende kwenye interview bila connection na pesa mbele utaaaibika
😂😂😂😂😂😂Unajikuta kutafuta kazi kunageuka ndio kazi🤣🤣🤣
Walishaliwa siku nyingi sana. IsMiaka 10 iliyopita nilifanya interview TANROAD Kili, baada ya interview one of the panelist alinijulisha kwa simu kuwa nimepita lakini ningepigiwa simu na wahusika ili uje uanze kazi.
Nilivyokuja kufuatilia nikaambiwa kuna vidada vilikuwa field 3 yrs pale ndio wamechukuliwa na infact tulikuwa nao siku ya interview.
Hahahaha interview kunakuwaga na ufala sanaile tumemaliza chuo tu mimi na mwanangu milandu tukapewa mchongo na sista..sista yeye kasoma masomo ya ras simba tu mixer na vyuo vya mtaani..sisi tuna gamba, NGO ipo mikocheni ..kuna engineer pale ndo kampa mchongo..sista hakua hata na cv tukasema tumchoree cv fastaa asbuhi ya kuzugia,maana sisi zetu zipo zimeshiba.. tumeingia tumepiga sana yai baba..hahaha jioni me na mwanangu tumekalia kuti kavu sista huyo kapita kisa kuna engineer panelist kamuelewa.
Mkuu mbona umekuwa mkali wakati umesema mwenyewe umeliwa tigo na wachina kwenye usaili?Mmoja wa delinquent member wa JF ni wewe, soma tena uelewe wapi nimeandika hayo uliyoyaandika?,mpumbavu na I can't help labda ungekua mjinga ningekuelewesha,uchunguzi wa tigo ni mmoja ya vigezo kabla hujapita kuwa jet fighter pilot cadet