Vituko vya Wakubwa Tz. Kuna Wabunge pia waliwahi kuwa Madada Poa

Aliye elewa waliowahi kuwa madada poa na leo wapo bungeni au walipata kuwa wabunge wetu wa JMT anitajie tafadhali. Sijamuelewa mleta uzi
 
Aliye elewa waliowahi kuwa madada poa na leo wapo bungeni au walipata kuwa wabunge wetu wa JMT anitajie tafadhali. Sijamuelewa mleta uzi
Achana nao tuu mkuu sio muhimu sana
 
.....kwa hisani ya Pascal MayallaπŸ‘Ώ
 
Kuna spesho chea mmoja anakaa hapo Biafra πŸ˜‚πŸ˜‚ Ni maharage ya Mbeya Maji mara moja na kuni mbili

Nikiachwa nitaleta mrejesho
Uzuri hata wao wamo humu na wanajua kuunganisha dots. Subiri majibu tu
 
Nani huyu?
 
Jiwe nakumbuka alikuwa anatembea na mwanachuo wa chuo cha ualimu pale Mhonda, Turiani Morogoro.
Alikuwa anaitwa Asela
Ukitoa weupe pia alikuwa kisu na bonge la pini.
sehemu moja inaitwa Midizini,
Madizini hiyo! Matajiri wote kuwawinda wanachuo!
Intake ya mwaka 2005-2006 Mhonda TTC wanajua hii story
Hii ilikuwa na visu, inawezekana wewe pia ulikuwemo coz kuna vitu unavielezea vya kiundani!

Ilikuwaje mpaka ukaja kwenye biashara yetu ile haramu mpaka ukafanikiwa kujenga???
 
Duh, mbona hafananii?? Huwa namchukulia kama mmoja wa wazee wachache waaminifu waliobaki hai kwenye hii nchi mbovu! Na uzee ule,anaenda kufanya nini kwenye bed??? Au masharti???
Sio kila kitu cha kuamini

Wengine wapo mtandaoni kuchafua watu

Mtu mwenye tabia za kimalaya hajifichi

Hapa dada bantu katunyeshwa chai🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…