Vituko vya Wakubwa Tz. Kuna Wabunge pia waliwahi kuwa Madada Poa

Mkuu mademu kama ao ndiyo wazuri wa kujenga nao urafiki ili upate connection
 
Unashangaa madada poa? Sasa kuna wakaka poa pia, lakini hawaingizwi kwenye mfumo, ila wazee wa mfumo wanawatafuna
 
Unashangaa madada poa? Sasa kuna wakaka poa pia, lakini hawaingizwi kwenye mfumo, ila wazee wa mfumo wanawatafuna


Hao wapo wengi sana CCM kuna kiongozi mmoja mwanamama alisema kwenye mkutano. Na juzi juzi Mbunge mmoja akasema wawe wanapimwa kabla ya kuingia Bungeni.
 
Khanji niongee uongo inisaidie nini? Baki usiamini. Mimi mwenyewe sikuwa naamini. Muone vilevile iko siku utakuja ambiwa na mtu unayemuamini au kuona utanikumbuka.
Sorry dada angu mzuri😋

Ila huyo mzee anaheshimika mno mtaa anaoishi dar sidhan
 
Watu Wana mambo mengi sana, Mimi ukitoa ya moyoni Sina vitendo kabisa au kwa sababu Sina hela 😁😃
 
Mimi nilikuwa natembea na mtu mkubwa tu, mwenye magari ya NBS ya kwenda Turiani
 
Hilo la Mtemi si sahihi. Mtemi hakuhusika. Ni vile unaona Mke kaingia mkenge kwa wivu unaamua kuokoa jahazi
 
Mpaka muda huu sijaona mada ya yule alyeimba "wanawake na maendeleo tusonge mbeleee" na msoga boy!
Unaambiwa hadi leo ukimgusa hiyo mama kama Una cheo cha kisiasa kama ubunge nk, jiandae kuupoteza!
 
Jiwe angejihurumia tu na ishu zake za moyo.
Binti yake akihijowa na Ayo TV alisema hakuwahi kumuona Baba yake kaumwa Ile ya hadi kulazwa tofauti na kuumwa kwa kawaida ambao kila mmoja wetu huumwa!
 
Jamaa muongo muongo huyu.
Igp si alimlala beki 3 wake na si Malaya.
Chenge hakugonga yeye bali mke wake alikua anawafatilia wezi wa bwana yake.
Ila mwisho wa siku yeye ndio akainunua case.
Nilikuwa naitafuta hii koment, ni kwl kabisa mtemi aliambiwa na mke wake, nimeshammaliza mbwa wako, nenda kamalize kesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…