Vituko vya watoto na ripoti za matokeo

Kuna msela yeye akikosa, akikaribia kufika nyumbani anaanza kulalamika kuwa mwalimu kamkosesha. Ukimwambia kweli umekosa anakuwa mbishi.

Hizi akili sijui anazitoa wapi, kanajifanya ka-einsten flani hivi.

Amrkuwa wa 16 kati ya 94
Ni ka einstein kweli mkuu 😁
 
Wakopeshe mzee 😁
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Please wakopeshe Watoto,watakulipa hiyp December.Utoto bwana,umenikumbusha mdogo wangu nikiwa Secondary yeye yuko Darasa la kwanza aliniambia Dada nikopeshe shs 50,nikamuuliza utanilipa lini? Akajibu siku akiokota [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
Bwana kumbe mambo ya msingi yamebadilika mie bado nina elimu yangu ya ngumbaru nimekariri vya zamani. Kumbe alphabet siku hizi wanazisoma tofauti, mie nikakazana na ya zamani akaniambia tu "mama wewe hujui" akanyanyuka na daftari lake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wazazi niwakumbushe sana badala ya kuangalia mwanao kawa namba ngapi focus kwenye wastani. Yani angalia performance na sio position.

Maana anaweza kuwa wa kwanza kumbe anaongoza vilaza wenzake. Mfano anakuwa wa kwanza halafu ana wastani chini ya 50 hapo kuna nini sasa?
 
Wanatilia huruma sana walitegemea makubwa.ntawanunulia kuwafariji,naona hawana raha kabisa kwa matokeo[emoji1][emoji1]
 

[emoji23][emoji23][emoji23] Mambo ya Sound a,sound ba,sound ku (c) hao tena ni Kindergaten.Haki kazi ipo sisi tuliosoma Kayumba ya enzi za kina Mwinyi na Mkapa
 

Na hii kwangu ndiyo huwa nafocus,nikiona ana A+ kwangu hata awe wa 20 anapata zawadi.
 
Wanatilia huruma sana walitegemea makubwa.ntawanunulia kuwafariji,naona hawana raha kabisa kwa matokeo[emoji1][emoji1]

Yes,wanunulie but kwa hayo makubaliano kuwa ni Mkopo,unawadanganya wakifail Dec kufikia malengo unabeba Bicycles zako,nakuhakikishia hapatakalika,maana watakuwa wameshaonja na uzuri wa kuride bicycles.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…