Vituko vya watoto na ripoti za matokeo

Na hii kwangu ndiyo huwa nafocus,nikiona ana A+ kwangu hata awe wa 20 anapata zawadi.
Yes mimi wakati nasoma seminary report tulipewa kupeleka home hazikuwa zikionyesha kuwa umekuwa wangapi basi zinaonyesha wastani uliopata.

Maana wakiweka kwa position unakuta mtu wa mwisho ana wastani wa B+.
 
Na Shule nyingi kwa sasa wanafanya hivyo,Report zinaonyesha Performance ya mtoto na si position.
 
[emoji23][emoji23][emoji23],hii tabia alikuwa nayo Marehemu Mzee wangu,anakuapisha kabisa unashika na Biblia kwa mlichokubaliana.
Mimi babu yangu,alikuwa askari f.f.u kipindi cha mkoloni.
Mimi hata kwenye maisha ya kawaida tukiwa kwenye mazungumzo ya ahadi lazima nikurekodi voice.
Siuziwagi mbuzi kwenye gunia mimi..
 
Mimi babu yangu,alikuwa askari f.f.u kipindi cha mkoloni.
Mimi hata kwenye maisha ya kawaida tukiwa kwenye mazungumzo ya ahadi lazima nikurekodi voice.
Siuziwagi mbuzi kwenye gunia mimi..

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenipa somo hapa. Hizi mambo za kukubaliana kimya kimya bila ushahidi mtu anakuja kataa unabaki huamini.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenipa somo hapa. Hizi mambo za kukubaliana kimya kimya bila ushahidi mtu anakuja kataa unabaki huamini.
Kabisa yaani
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Mambo ya Sound a,sound ba,sound ku (c) hao tena ni Kindergaten.Haki kazi ipo sisi tuliosoma Kayumba ya enzi za kina Mwinyi na Mkapa

Hizo sound nini sijui nimeshindwa mpaka leo
Yaani hata sielewi
 
Jf naikubali sana.

Tunacomment kulingana na uzi

Hapa kila mtu ana mtoto[emoji23][emoji23]
Kuna mmoja humu kakoment wakat Kuna uzi kaleta juzi tu akiomba ushaur afanyaje apate mtoto na umri unaenda hana mtoto maajabu Leo hii anadai mwanae yupo darasa la tano

Jf haiishi maajabu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] dah umenifanya niwaze nilivyompata mwanangu wa kwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23] maana anashangaa tunacomment kuhusu watoto,wakati ni kweli tunao. Tena wengine walipatikana ki masihara tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Mambo ya Sound a,sound ba,sound ku (c) hao tena ni Kindergaten.Haki kazi ipo sisi tuliosoma Kayumba ya enzi za kina Mwinyi na Mkapa
Yaani acha kabisa, inabidi na wazazi tuwe tunapewa muongozo[emoji1787][emoji1787]
 
Sidhani kama kuna mzazi anaweza asiwe makini na hilo aisee. Ila asante kwa kutukumbusha.
 
NIMEONDOA MANENO YANGU NA NIMEYAFUTA YALIYOKUWA NA KADHIA NA KULETA USUMBUFU KWA MEMBERS HUMU KUHUSU REPLY YANGU JUU YA MTOTO WA HORNET MNISAMEHE SANA, SANA SANA 'HORNET' NISAMEHE .....TUENDELEE KUFURAHIA "VITUKO VYA WATOTO NA RIPOTI ZA MATOKEO"
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa ulitegemea mwenzio aitoe wapi? Jibu murua kabisa hilo.
 
Yaani acha kabisa, inabidi na wazazi tuwe tunapewa muongozo[emoji1787][emoji1787]

Mimi siku hizi kama sielewi nakaa pembeni nampigia Mwl anieleweshe kama nitakuwa nimeshindwa kupata jibu sahihi.Sitaki aibu tena ya kumkosesha mtoto wakati anaamini Mama ni Kipanga [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa ulitegemea mwenzio aitoe wapi? Jibu murua kabisa hilo.

Mpaka leo keshakuwa mtu mzima namkumbushaga anilipe deni langu na yeye anajibu bado hajaokota[emoji23][emoji23].Utoto raha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…