Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Magari tusiwe nayo ,hata watoto nao tukose..
Khaaaa...!
Utadhani inahitaji Capital kubwa kuwapata Watoto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magari tusiwe nayo ,hata watoto nao tukose..
Khaaaa...!
[emoji1][emoji1]Utadhani inahitaji Capital kubwa kuwapata Watoto.
Yes mimi wakati nasoma seminary report tulipewa kupeleka home hazikuwa zikionyesha kuwa umekuwa wangapi basi zinaonyesha wastani uliopata.Na hii kwangu ndiyo huwa nafocus,nikiona ana A+ kwangu hata awe wa 20 anapata zawadi.
Tena nataka tuandikishiane kabisa,[emoji1][emoji1][emoji119][emoji119]
Yes mimi wakati nasoma seminary report tulipewa kupeleka home hazikuwa zikionyesha kuwa umekuwa wangapi basi zinaonyesha wastani uliopata.
Maana wakiweka kwa position unakuta mtu wa mwisho ana wastani wa B+.
Mimi babu yangu,alikuwa askari f.f.u kipindi cha mkoloni.[emoji23][emoji23][emoji23],hii tabia alikuwa nayo Marehemu Mzee wangu,anakuapisha kabisa unashika na Biblia kwa mlichokubaliana.
Mimi babu yangu,alikuwa askari f.f.u kipindi cha mkoloni.
Mimi hata kwenye maisha ya kawaida tukiwa kwenye mazungumzo ya ahadi lazima nikurekodi voice.
Siuziwagi mbuzi kwenye gunia mimi..
Kabisa yaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenipa somo hapa. Hizi mambo za kukubaliana kimya kimya bila ushahidi mtu anakuja kataa unabaki huamini.
[emoji23][emoji23][emoji23] Mambo ya Sound a,sound ba,sound ku (c) hao tena ni Kindergaten.Haki kazi ipo sisi tuliosoma Kayumba ya enzi za kina Mwinyi na Mkapa
Utadhani inahitaji Capital kubwa kuwapata Watoto.
Ikiona imepotea ujue ina MAJANGA kama ya Snura.Na mwanangu junior yeye lipoti kapoteza na hajui kawa wa ngapi
Kuna mmoja humu kakoment wakat Kuna uzi kaleta juzi tu akiomba ushaur afanyaje apate mtoto na umri unaenda hana mtoto maajabu Leo hii anadai mwanae yupo darasa la tanoJf naikubali sana.
Tunacomment kulingana na uzi
Hapa kila mtu ana mtoto[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] dah umenifanya niwaze nilivyompata mwanangu wa kwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani acha kabisa, inabidi na wazazi tuwe tunapewa muongozo[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Mambo ya Sound a,sound ba,sound ku (c) hao tena ni Kindergaten.Haki kazi ipo sisi tuliosoma Kayumba ya enzi za kina Mwinyi na Mkapa
Kuna mmoja humu kakoment wakat Kuna uzi kaleta juzi tu akiomba ushaur afanyaje apate mtoto na umri unaenda hana mtoto maajabu Leo hii anadai mwanae yupo darasa la tano
Jf haiishi maajabu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sidhani kama kuna mzazi anaweza asiwe makini na hilo aisee. Ila asante kwa kutukumbusha.Wazazi niwakumbushe sana badala ya kuangalia mwanao kawa namba ngapi focus kwenye wastani. Yani angalia performance na sio position.
Maana anaweza kuwa wa kwanza kumbe anaongoza vilaza wenzake. Mfano anakuwa wa kwanza halafu ana wastani chini ya 50 hapo kuna nini sasa?
NIMEONDOA MANENO YANGU NA NIMEYAFUTA YALIYOKUWA NA KADHIA NA KULETA USUMBUFU KWA MEMBERS HUMU KUHUSU REPLY YANGU JUU YA MTOTO WA HORNET MNISAMEHE SANA, SANA SANA 'HORNET' NISAMEHE .....TUENDELEE KUFURAHIA "VITUKO VYA WATOTO NA RIPOTI ZA MATOKEO"Ila hii kitu ni ngumu kukubali
Binti yangu nae ni kama Hana interest na shule kabisa
Ameniomba nimnunulie mdoli ajifunze kusuka
Pamoja na vitu vya makeup
She spends a lot of time doing her hair, nimeongea nimechoka
Anataka heels na magauni ya designs
Anaweza badili nguo hata mara mbili
Hata sielewi namfanyaje akaze shuleni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Please wakopeshe Watoto,watakulipa hiyp December.Utoto bwana,umenikumbusha mdogo wangu nikiwa Secondary yeye yuko Darasa la kwanza aliniambia Dada nikopeshe shs 50,nikamuuliza utanilipa lini? Akajibu siku akiokota [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Yaani acha kabisa, inabidi na wazazi tuwe tunapewa muongozo[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa ulitegemea mwenzio aitoe wapi? Jibu murua kabisa hilo.