Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,736
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema wanahusika
Isijekuwa tanuri la taka za Muhimbili halifanyi kazi wameamua kutupa hovyo mabaki ya watu.
we kweli mzaramo.maneno tu yanakutoka hata hufikirii.watu wana majonzi we unafanya masihara.chadema kahusikaje sasa hapa.watu wengine bwana,hovyooookudadeki sio chadema hao
Idadi hiyo imeokotwa ktk mifuko ya viroba......ni hali ya kusikitisha kwa kweli miongoni mwao wapo watoto.
========
UPDATE 1:
Kwa mujibu wa Radio One:
Jeshi la Polisi wilaya ya Kinondoni limesema kuwa limekamata viungo mbalimbali vya binadamu vilivyohifadhiwa ktk mifuko ya plastiki ktk machimbo ya kokoto ya Bunju nje kidogo ya jiji la Dsm


Njoo bukoba aisee
Upuuzi wa ccm huuConfirmed
Haya ni masalia/Cadaver baada ya wanafunzi kuyatumia na kushindwa kuya incinerate (kuyachoma kwenye tanuru), kwa habari za uhakika ni kwamba haya masalia yametoka chuo kikuu cha IMTU kilichopo Mbezi Beach Dar, hawa Jamaa walipeleka haya masalia Muhas/Muhimbili kwa ajili ya kuwa incinerated lakini hawakuwa na hela hivyo Muhas hawakuteketeza haya masalia.
Ndipo sasa wakaamua kuja kuyatupa Bunju.
This is very un-ethical na udhalilishaji wa taalum, hatua kali zichukuliwe.
Picha mbona zimewekwa humu? Au una issues?wakina tomaso tupo bila kapicha! itakua ngumu kuamini.
Mpuuzi ni wewe uanayehamisha kila shida kwenye siasa, kuna siku utakunya usichambe uje useme ni ccm.... Pumbafff kasoro mkiaUpuuzi wa ccm huu
Mpuuzi ni wewe uanayehamisha kila shida kwenye siasa, kuna siku utakunya usichambe uje useme ni ccm.... Pumbafff kasoro mkia
Chadema wanahusika