Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

Isijekuwa tanuri la taka za Muhimbili halifanyi kazi wameamua kutupa hovyo mabaki ya watu.

acha ujuha wewe kama tanuri la taka halifanyi kazi si wangelihimba shimo wakazifukia hizo maiti,hii ni kazi ya mtu au watu wamebakagawa hawajua waifanye nini hiyo miili ya binadamu
 
Hii nchi cjui tunaelekea wapi.likitoka hii linaingia chili.Na hapo utackia wapewe muda iundwe tume.ee mungu tustiri sie waja wako.watu wamekuwa na roho hata chui Ana afadhali
 
Hawa ni wauwaji wa watu, wafatiliwe watiwe mbaroni!!
Labda wanatoa watu kafara, matambiko na damu!!
 
Idadi hiyo imeokotwa ktk mifuko ya viroba......ni hali ya kusikitisha kwa kweli miongoni mwao wapo watoto.

========
UPDATE 1:

Kwa mujibu wa Radio One:
Jeshi la Polisi wilaya ya Kinondoni limesema kuwa limekamata viungo mbalimbali vya binadamu vilivyohifadhiwa ktk mifuko ya plastiki ktk machimbo ya kokoto ya Bunju nje kidogo ya jiji la Dsm
IMG-20140721-WA0016.jpg
IMG-20140721-WA0021.jpg
 
wakina tomaso tupo bila kapicha! itakua ngumu kuamini.
 
Confirmed

Haya ni masalia/Cadaver baada ya wanafunzi kuyatumia na kushindwa kuya incinerate (kuyachoma kwenye tanuru), kwa habari za uhakika ni kwamba haya masalia yametoka chuo kikuu cha IMTU kilichopo Mbezi Beach Dar, hawa Jamaa walipeleka haya masalia Muhas/Muhimbili kwa ajili ya kuwa incinerated lakini hawakuwa na hela hivyo Muhas hawakuteketeza haya masalia.

Ndipo sasa wakaamua kuja kuyatupa Bunju.

This is very un-ethical na udhalilishaji wa taalum, hatua kali zichukuliwe.
 
Upuuzi wa ccm huu
 
hayo no mabaki ya cadaver kwa picha nilizoona lakini hiyo method ya kudispose siyo sahihi
 
Kuna haja ya kuweka ndani uongozi wa IMTU na ikibidi wafunge chuo kama knakosa basics za waste disposal hasa za vitu vya usiri kama teaching cadaver
 
Mpuuzi ni wewe uanayehamisha kila shida kwenye siasa, kuna siku utakunya usichambe uje useme ni ccm.... Pumbafff kasoro mkia

Serikali ya kipuuzi inaongozwa na wapuuzi ndio mana kila mtu anaamua lake. Unadhani kwenye nchi makini upuuzi ka huu utatokea? Poor ccm mnaua watu afunasema ni guinea pigs
 
Back
Top Bottom