Vizinga vinawapotezea wanawake potential husbands. Hela uliyoitafuta kwa jasho inauma sana

Mbona kuwa mchungaji sio suala la kutaka ndugu yangu πŸ˜†
Ni wito km hujaitiwa huko huwezi survive
Usi jifanye huelewi😁, nataka tuunde msingi imara πŸ˜πŸ˜ƒ.
πŸ‘‰Nita tulia mnoo, hebu niongoze- achana na wachawi kina Ivan Stepanov Wana tumika na ibilisi kuni chafua πŸ€£πŸ€£πŸ˜ƒ
 
Nawaambiaga kila siku haya mambo. Wanawake ni makahaba wanachotofautina ni kuna ambao wapo directly na wengine indirectly. Tatizo binadamu wanapenda kusikia yanayowafurahisha tu
Mzeya nina bodaboda hapa njoo nikuoe upige kazi maana unanifurahisha na nondo zako
 
Usitafute mwanamke masikini wa mali na akili.

Kuwa na standards.

Vinginevyo, haya ni matatizo ya kujitakia.
Labda asiwe maskini wa akili, inawezekana. Lakini asiwe maskini wa mali na hali wewe ni maskini, hapo mtihani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…