Vodacom wamefungia line yangu ikiwa na milioni 10 kwenye M-PESA

Washtaki Voda. Mwanasheria kubalianeni tu ukishinda atapata nn halafu endelea na mambo yako. Usisahau kutengeneza mazingira ya kuonyesha ulichopoteza kwa wao kushikilia line.
 
yani unawka mpesa mil 10??? wahuni walijua ushafungiwaa hapoo wakakombaa pesaa chap hatari sanaa... hela unaweza kuja kuipata ila kwa kutesekaa sanaa yani mnoo.
 
Sheria za Benki Kuu ya Tanzania haziruhusu mtu kuwa na million 10 kwa wakati mmoja kwa siku kwenye line ya simu; maximum amount ni million 5 kwa siku. Wewe uliwezaje kuweka million 10 kwa wakati mmoja kwenye line ya simu, na wakati huo huo ukashindwa tena kuwa mwangalifu na laini yako hadi ikafungiwa ikiwa na kiasi kikubwa hicho cha fedha?
Ndiyo maana mimi kati ya kazi ambazo nilitamani sana kufanya nchi hii, ni u-Polisi, ila basi tu sikubahatika
 
Hilo ni suala la kisheria... Nenda pale makao makuu na mwanasheria
 

Angalia uhalali wa hizo hela, utaweza kutana ma charges za mahakamani very soon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…