Vodacom wamefungia line yangu ikiwa na milioni 10 kwenye M-PESA

kama uko dar wai mlini pale mawasiliano kama uko mbali panda basi fasita hiyo voda shopu hawaiwezi
 
Benki bado inabaki kuwa sehemu salama na rahisi kuweka na kutoa fedha
Endelea kuwasisitiza bila kuchoka
aende mawasiliano asiweke usiku ndio benki ni mahala salama lakini kuna sehemu nyingine lazima utie hela kwenye cm tu
 
Braza hii ni FURSA....
Fungua kesi ya kukucheleweshea madili ya biashara zako.

Unamkumbuka yule mzungu na Tigo?

#YNWA
 
Ili uwe tapeli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aende mawasiliano asiweke usiku ndio benki ni mahala salama lakini kuna sehemu nyingine lazima utie hela kwenye cm tu
Ni kweli lakini sio kwa kiasi kikubwa hivyo kwenye mitandao ya simu yenye zengwe namna hii!
 
Pesa hiyo unaweka kwa laini unategemea nini...
Bank azipo au..?
Mi pesa zangu sikuiz natunza kupitia lipa namba ya TIGO.

Kuweka pesa Bank ni risky mno.. nimewah zinguana sana na CRDB kipindi flani ilikua kila nikideposit hela baada ya muda nikicheki balance nakuta over 200k imekuwa deducted. Sitaki tena kuskia habari za Bank
 
Fungua kesi ya madai, waambie kuna biashra ya milioni 100 faida umeshindwankuifanya sababu ya kufungwa line, washtaki wote, TCRA na Vodacom, wote wanahusika
 
Kwani yeye ana mkataba wa aina gani na TCRA? Wampe barua angalau apate nyaraka, ataenda TCRA aseme meneja wa voda kamtuma afunguliwe line yake? Atapigwa danadana mpaka.
TCRA wanapokea malalamiko yoyote yale yanayohusiana na mawasiliano ya simu.
 
Yaaan 200k ina kua hakuna au...!!!??? Khaaa then wenyewe wanasemaje ukifatilia
 
Yani hapo utakuta imebaki 7m
 
Ulitamani kazi ya laana Sana Bora hujapata tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…