Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

Basi jamani mioyo bado haijapoa wenzenu πŸ˜₯
 
Hata mkoloni hakuua ndugu zetu hivi, hii haisahauliki na wala haisameheki muda utasema.
Mkuu kuna muda mimi naamua kushinda kwenye nyuzi za MMU sio kwamba nazipenda sana..!!
Ni vile nasikia uchungu na aina ya watawala tulionao, ukisema tayari wanaanza kutafuta kuteka watu wakawaingilie kinyume na kuwaua.. πŸ˜₯

Maumivu ni makali kuona tunaenda kurithisha vizazi vyetu taifa ovu lilolojaa laana za umwagaji damu na uongozi mbovu..!!
 
Acha uchawa. Wengine tunamuombea akakutane na mumewe kipenzi soon. Aaamina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…