Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Kwanini kabudi alitoka kunanusha kauli ya CHACHA?Kijana hii nchi hapo 1990s tu lami ilikua dar-moro-arusha,na manispaa,lami kwa wengi ilikua hadithi ya ajabu, usafiri ilikua shida,dar-mwanza siku tatu
Shule za sekondari zilikua chache, kufaulu la saba wilaya nzima ingekujua,chuo kikuu kimoja udsm, vyombo vya moto vilikua vya serikali,waasia au kanisa,nyumba zilikua za udongo na nyasi
Hizo kauli zenu hakuna mlichofanya wakati umeenda chuo na division 3 ni uhayawani tu unakusumbua
Vyombo vya dola ni mali ya dola
Kabudi na chacha wote ni Wana CCM
Innocent child anafanya nini nje kwenye martial law we fala!?
Hivi wewe kilaza unajua hata unachokibisha?? Aiseee kweli Africa inahitaji kutawaliwa maana vilaza ni wengi sana hasa Tanzania yan Hadi unahoji innocent child alikuwa anafanya nn mtaani? Hivi umewaza wale madogo wanoalala masokoni usiku nini kiliwapatai? Umewaza wale madogo wanaaosha magari mataa huwa wanaishi wapi? Aiseeee kweli UVCCM kwa sasa imekwisha weledi wake sio kama miaka yetu ya MATAGA tulikuwa hatuna akili za kipuuzi kama hiziInnocent child anafanya nini nje kwenye martial law we fala!?
Mkojo upi?ameamka kukojoa
Wakati unaelezea matukio ya Oct jitahidi uwe na taswira pana ya matokeo ya maelezo. Sidhani kama ni lengo la serikali na chama tawala kutengeneza chuki ya kudumu na wahanga wa yale matukio. Take time to organize and clarify your explanation before sharing it.Innocent child anafanya nini nje kwenye martial law we fala!?
Watu hawana fikra sawa,ulipaswa kulijua hiliKwanini kabudi alitoka kunanusha kauli ya CHACHA?
Huyo mtoto anaishi porini peke yake ambako Hana wakubwa wala media?angejuaje kama kuna martial law? mlishawahi kutoa education kwa wananchi maana ya “martial law” na kama ikitangazwa wananchi wafanye nini? na nani inamhusu na yupi ana anaruhusiwa kuwepo nje? kwa maana hata corona yenyewe kuna nchi ziliweka hiyo “martial law” na waliemisha nani anaruhusiwa kuwepo nje na wengine walikuwa na kibali maalumu, martial law haifungi nchi kuna daktari anapaswa aende kazini sasa atapigwa risasi? kuna journalist akionekana apigwe risasi? watanzagiza wengi wana vyoo nje akibanwa kwenda chooni afwatuliwe risasi?
hii ni incompetent regime …
Madogo wanatakiwa kuwa shule na si kuosha magari mitaani na kulala nje ya nyumbaniHivi wewe kilaza unajua hata unachokibisha?? Aiseee kweli Africa inahitaji kutawaliwa maana vilaza ni wengi sana hasa Tanzania yan Hadi unahoji innocent child alikuwa anafanya nn mtaani? Hivi umewaza wale madogo wanoalala masokoni usiku nini kiliwapatai? Umewaza wale madogo wanaaosha magari mataa huwa wanaishi wapi? Aiseeee kweli UVCCM kwa sasa imekwisha weledi wake sio kama miaka yetu ya MATAGA tulikuwa hatuna akili za kipuuzi kama hizi
NonsenseWakati unaelezea matukio ya Oct jitahidi uwe na taswira pana ya matokeo ya maelezo. Sidhani kama ni lengo la serikali na chama tawala kutengeneza chuki ya kudumu na wahanga wa yale matukio. Take time to organize and clarify your explanation before sharing it.
Wanaroga sana au!!?Voice from within inanituma ""release nchimbi,wangoni sio watu""(just a joke 😃😃)
Kauli yako ina makosa makubwa sana kisheria na hata kimantiki! 😂Kijana hii nchi hapo 1990s tu lami ilikua dar-moro-arusha,na manispaa,lami kwa wengi ilikua hadithi ya ajabu, usafiri ilikua shida,dar-mwanza siku tatu
Shule za sekondari zilikua chache, kufaulu la saba wilaya nzima ingekujua,chuo kikuu kimoja udsm, vyombo vya moto vilikua vya serikali,waasia au kanisa,nyumba zilikua za udongo na nyasi
Hizo kauli zenu hakuna mlichofanya wakati umeenda chuo na division 3 ni uhayawani tu unakusumbua
Vyombo vya dola ni mali ya dola
Kabudi na chacha wote ni Wana CCM
Ni kweli kabisa,lami zote ni za CCM chama chetu!Kijana hii nchi hapo 1990s tu lami ilikua dar-moro-arusha,na manispaa,lami kwa wengi ilikua hadithi ya ajabu, usafiri ilikua shida,dar-mwanza siku tatu
Shule za sekondari zilikua chache, kufaulu la saba wilaya nzima ingekujua,chuo kikuu kimoja udsm, vyombo vya moto vilikua vya serikali,waasia au kanisa,nyumba zilikua za udongo na nyasi
Hizo kauli zenu hakuna mlichofanya wakati umeenda chuo na division 3 ni uhayawani tu unakusumbua
Vyombo vya dola ni mali ya dola
Kabudi na chacha wote ni Wana CCM
hahahahahaha,mdgMkojo upi?
Kuna hata mtoto mmoja wa mtaani ambae umemchukua na kumsomesha?? Au serikali yenu imejaa ubinafsi, hivi nyie UVCCM kwa nini hamfati nyayo zetu tulipokuwa tupo huko tunaipambania MATAGA yetu, hivi sasa hivi Kuna jukwaa lolote ambalo Kuna mwanaCCM aliyeongelea suala la watoto wa mtaani tangu huyo kahaba wenu aingie madarakani? Tatizo mnalizika sana na hizo buku 7 ambazo Mchengerwa kawasema bila Rushwa UVCCM hamfanyi kaziMadogo wanatakiwa kuwa shule na si kuosha magari mitaani na kulala nje ya nyumbani
OkNonsense
Vyombo vya dola ni vyombo ambavyo dola huvitumia ku-assert mamlaka yakeKauli yako ina makosa makubwa sana kisheria na hata kimantiki! 😂
"Vyombo vya dola ni mali ya dola" ni kauli ya hovyo:
1. Ni kama kujirudia: Vyombo vya dola NDIO dola yenyewe. Polisi, JWTZ, Magereza - hivyo ndivyo dola inavyojionesha. Kusema "vyombo vya dola ni mali ya dola" ni kama kusema "mkono ni mali ya mkono". Haijulikani nani mmiliki halisi.
2. Kikatiba "dola" haina kitu: Katiba yetu haitambui "dola" kama mtu anayeweza kumiliki kitu. Katiba inatambua WANANCHI ndio wamiliki, na Serikali ni mdhamini tu. Ibara ya 8 inasema mamlaka yote yanatoka kwa wananchi, sio kwa dola.
3. UMENIKWEPA😂😂
umeshindwa kuchagua kati ya Katiba na Chacha. Lakini Katiba iko wazi, vyombo ni mali ya wananchi, dola ni jina tu.
Mpaka hapa umeithibitishia nyie wazee ni wajinga wajinga tu.
Sema mmetangulia kuliona jua.