Volkswagen yafikiria kufunga viwanda vyake nchini Ujerumani, moja ya sababu ni ushindani kutoka China

Mexico usiwachukulie poa mzee.
Walitengeneza drone ambayo ilizidi drone ya Israel walipofanya test.
Hizi drone hua zipo kweli naona unaziongelea sana kama ishara ya maendeleo waliyo nayo kwenye teknolojia. Na what makes you think Israel ni kipimo sahihi na pekee cha maendeleo ya teknolojia? Yaani ukitengeneza bidhaa yako ya tek lazima uilinganishe na ya Israel kuona ina ubora gani? Mkuu hamna scale yoyote unaweza kuitumia kuilinganisha Mexico na China.
 
Manufacturing ecosystem na supply chain ya China ni ya hali ya juu sana

Na hizi ni mojawapo ya sababu China kuwa moja ya the best destination ya FDI duniani
Kila kitu kinatengenezwa. Mexico iko pua na mdomo na Marekani, India ni hasimu wa China kiulinzi na kidiplomasia. Ukiinua India ambayo ina workforce na mishahara midogo zaidi kuliko China unapunguza kuihitaji China.

Population ya India ni kubwa zaidi ya China, elimu ipo hukosi watu ukifungua hata viwanda vya aeronautics. Soko lipo. Unabaki na vitu kama kuongeza umeme wa kutosha, bandari, reli vitu ambavyo investors wanaweza ingia miaka michache tu vikawepo.

Wateja wakubwa wa China hawa hapa. Ukiachana na Urusi, nani rafiki wa China kidiplomasia hapa? ASEAN wenyewe ndio hao kuna Philippines na Vietnam wanagombea bahari na China. Wengine kina Singapore wana mikopo kibao na investments kubwa za EU na Marekani

Marekani ndio mwekezaji mkubwa kwa China, na ndio mteja mkubwa, na ndio mtoaji mkubwa wa teknojia kwa China. Ni kitendo cha kuhamisha influence wakiona mlinganyo sio kwa maslahi yao. Yaani unacheza na Marekani aliyeipiga Ujerumani ikachakaa kisha akaisimamisha iko top 5 kiuchumi? Akaipiga Japan ikachakaa kisha akairudisha top 5 kiuchumi duniani? Akaikuta South Korea haina hata bajeti ya kulipa mishahara wafanyakazi, akaanza kutoa hela hata za kuendeshea serikali leo hii South Korea inashindana GDP na Urusi?

Hapo ni fair game anayeona hana maslahi anatoka ila wakiamua kufungiana vioo kuna mtu ataumia zaidi.
 
India ni hasimu wa China kiulinzi na kidiplomasia. Ukiinua India ambayo ina workforce na mishahara midogo zaidi kuliko China unapunguza kuihitaji China.
Je, unajua kuwa India ni trade partner mkubwa wa China kuliko India na Marekani?

Na kwenye trade kati ya China na India ni India ambayo inaface trade deficit kubwa sana
 
Population ya India ni kubwa zaidi ya China, elimu ipo hukosi watu ukifungua hata viwanda vya aeronautics. Soko lipo. Unabaki na vitu kama kuongeza umeme wa kutosha, bandari, reli vitu ambavyo investors wanaweza ingia miaka michache tu vikawepo.
Mzee China ni habari nyingine kwenye supply chain.

Kuna baadhi ya kampuni za West zimewekeza India lakini bado wanategemea components kutoka China.

Mfano mzuri ni iPhone India bado baadhi ya components wanaagiza kutoka China
 
Haya malalamiko ya Apple kuhusu India baada ya kujaribu kuhamisha baadhi ya uzalishaji wao India.

 
Je, unajua kuwa India ni trade partner mkubwa wa China kuliko India na Marekani?

Na kwenye trade kati ya China na India ni India ambayo inaface trade deficit kubwa sana
Najua, hata kwenye trade ya China na Marekani mwenye deficit kubwa ni Marekani. Vilevile Marekani ina deficit na Mexico na kama sikosei na dhidi ya Canada. Factors nyingine zinaifanya Marekani iwe juu yao wote hao.

India ikipigwa investments inakuwa manufacturing hub kama China. Kwani imechukua miaka gani Mexico kuipiku China kuwa trade partner mkubwa zaidi wa Marekani? Tena Trump akiwa Rais ndio kabisa yule bwana anapenda vya Marekani.
 
Tukitafuta malalamiko ya US investors dhidi ya China tutayakosa?
 
Tuanze na trade war ya Trump na impacts zake
 
China inauza bidhaa zake kupitia Mexico na Vietnam kwa kiasi kikubwa hii mbinu waliwahi kutumia kupitia Hong-Kong miaka ya nyuma.
 
Unaweza ukanisaidia source iliyoandika hii habari amnayo China imehusishwa? Au hili la China ni maoni yako tu?
 
Mzee China ni habari nyingine kwenye supply chain.

Kuna baadhi ya kampuni za West zimewekeza India lakini bado wanategemea components kutoka China.

Mfano mzuri ni iPhone India bado baadhi ya components wanaagiza kutoka China
Kwani Apple walijenga plant India ili iwe independent na itoe parts yenyewe peke yake?

Mbona hiyohiyo plant ya China inatumia components kutoka South Korea, Taiwan na Marekani? Mbona hapohapo China bado Apple inatumia screen panels za BOE kampuni ya China kwenye baadhi ya models? Ni lini iPhone au bidhaa yoyote ya Apple ikatumia parts za nchi moja tu.

Au umeona plant ya Apple China ina ukubwa gani na thamani gani, na ya India inazidiwa kivipi.
 
ASEAN kwa ujumla ni wa wateja wa bidhaa za China, na kama ulikuwa haujui China imefanya uwekezaji mkubwa katika mataifa hayo

Nikupe mifano michache tu ya kampuni za China zilizofanya uwekezaji ASEAN
●BYD wamefungua plant Thailand.
●Chery wamefungua kiwanda Vietnam

Kimsingi, bidhaa za China zinaingia Marekani kupitia nchi zingine kama Mexico, Vietnam, Philippines na Singapore.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…