Hiyo story umeitoa wewe hakuna mpemba mwenye akili hiyo . Wapemba na Unguja wameoana na kuzaana kiasi kwamba hakuna Mpemba asiye na jamaa unguja wala hakuna muunguja asiye na jamaa Pemba. Vyengine hao uliowasikia wakisema hivyo ni hawa wazanzibara walioletwa na Nyerere kuja kuifisidi ZanzibarMkapa unyama alioufanya haukubaliki na kama ambavyo unyama wa Samia usivyokubalika, hakuna justification katika mauaji ya raia.
Nimekuwa nikipiga story na jamaa zangu Wapemba na Mwajabu ni kwamba wanamlaumu Mkapa pamoja na Waunguja, wanadhani Waunguja ndiyo wanang'ang'ania muungano eti wanahisi muungano ukivunjika watatawaliwa na Wapemba. Wanadai hata Oman inapendelea damu za Kiarabu hivyo Waunguja(blacks) watakuwa watwana. Huu ni mtazamo wa Wapemba diaspora niliopiga nao story kuhusu muungano. Yaani hawa Wapemba hata mapinduzi hawayatambui wanadai Zenji ilipata uhuru way back kutoka kwa Muingereza. Confusing stories.
Hakuna Nyumba ya Mzanzibari iliyoomboleza. Hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar.
Je, nini kilisababisha Wazanzibari waliojaa Dar es Salaam asijeruhiwe hata mmoja?
Nawaza sana.
View attachment 3547444
Wewe ndiyo huna aibu kuwa chawa, shameless swine. Hiyo habari kukanushwa wamekanusha mangapi ya ukweli, unakumbuka just recently tukio la Oct'29th walisema hakuna aliyeuawa na baada ya ushahidi kuzidi wakasema waliouawa si Watanzania(literally they meant Watanganyika) then ndugu wa waliouawa walipojitokeza kwa wingi ndipo akaita wazee wa CCM(dubbed as wazee Dar es Salaam) na ndipo Samia wenu huyo akasema kuua kule kulikuwa justified na hata clips za mwanzo walidai ni AI sasa angalia tukio moja maelezo tofauti kibao and you're coming here with your stupidity eti "habari imekanushwa rasmi", kukanushwa rasmi by these very same ass-holes? Do you think you're telling this rubbish stories of yours to some little kids?Narudia tena kukwambia, hakuna polisi yoyote aliyekodiwa kutoka nchi ya jirani. Msiwapake matope majirani kwa stori za vijiweni.
Huwa hamna aibu kutunga vitu vya uongo, mmetunga kuhusiana na Mafwele habari imekanushwa rasmi.
Ulikuwa ni Msiba wa Watanganyika. Wazanzibar walitoa pole tu. Je, Samia ni Mtanganyika? Sasa Misiba yetu inamhusu nini? Yeye atoe pole tuWazanzibari wameua Watanganyika
Wapemba hundred percent, Wapemba wamanga and for your information hata mapinduzi wanayakataa. Walikuwa connected sana na siasa za Zenji enzi za Maalim Seif and they were funding CUF a lot, these people are my very close friends so I talk to them a lot.Hiyo story umeitoa wewe hakuna mpemba mwenye akili hiyo . Wapemba na Unguja wameoana na kuzaana kiasi kwamba hakuna Mpemba asiye na jamaa unguja wala hakuna muunguja asiye na jamaa Pemba. Vyengine hao uliowasikia wakisema hivyo ni hawa wazanzibara walioletwa na Nyerere kuja kuifisidi Zanzibar
Mapinduzi wanayakataa Wazanzibari wote kwani hayakufanywa na Wazanzibari . Wewe unajifanya very close wakati Mimi ni Mzanzibari mwenye wazee Pemba na Unguja na Mapinduzi nimeyaona? Wamakonde wa Lindi na Mtwara wakipita wakiuwa watu Bure na kunajisi wahindi na waarabu na kuiba . Yale hayakuwa Mapinduzi yalikuwa Mavamizi ya NyerereWapemba hundred percent, Wapemba wamanga and for your information hata mapinduzi wanayakataa. Walikuwa connected sana na siasa za Zenji enzi za Maalim Seif and they were funding CUF a lot, these people are my very close friends so I talk to them a lot.
Mapinduzi wanayakataa Wazanzibari wote kwani hayakufanywa na Wazanzibari . Wewe unajifanya very close wakati Mimi ni Mzanzibari mwenye wazee Pemba na Unguja na Mapinduzi nimeyaona? Wamakonde wa Lindi na Mtwara wakipita wakiuwa watu Bure na kunajisi wahindi na waarabu na kuiba . Yale hayakuwa Mapinduzi yalikuwa Mavamizi ya NyerereWapemba hundred percent, Wapemba wamanga and for your information hata mapinduzi wanayakataa. Walikuwa connected sana na siasa za Zenji enzi za Maalim Seif and they were funding CUF a lot, these people are my very close friends so I talk to them a lot.
Hili halifai kuwa suluhisho.... Lazima kuna kitu kifanyike. LABDA KAMA HUKUGUSWA ANGALAU HATA KWA JIRANI. Kuna watu hawawaoni ndugu hadi nao wafe jomba....mkuu ni kweli tuliumizwa na kilicho tokea, ila nasihi tutumie fikra zetu na sio mihemuko mibovu.
Tuki ingia mtego wa kuanza kuwindana sisi raia kwa raia bado ni hasara kwetu, na ndio kwanza watazidi kutengeneza mazingira ya kutukandamiza.
Watanganyika wameuwa Wazanzibari.Wazanzibari wameua Watanganyika
Una chuki binafsi na Wazanzibari.Baadhi ya wauaji toka Zanzibar walipokuwa wakitekeleza mauaji dhidi ya Watanganyika walisikika wazi wakisema kuwa mwaka 2000 wazanzibari walikufa, safari hii ni zamu yenu. Wazanzibari walioletwa na Abduli wakitumia silaha alizoziingiza walikuwa wakiua kila mtanganyika anayeonekana bila ya kujali kama ni mtoto, mzee au kijana, hata kama yupo pekee yake. Nadhani mlisikia ile taarifa ya mzanzibari akiongea kwenye simu akitamba kuwa yeye pekee yake ana uhakika ameua watanganyika siyo chini ya 300.
Katika utawala huu pesa nyingi za Tanganyika zimeporwa na kupelekwa kuijenga Zanzibar. Wazanzibari wamepora rasilimali nyingi za Tanganyika, kuanzia maelfu ya ekari za ardhi mpaka vitalu vya madini. Ndiyo maana wanasema chini ya utawala huu wameshuhudia maendeleo makubwa Zanzibar kuliko wakati wowote.
Fikiria Serikali ya JMT imechukua mkopo wa bilioni 400 kwaajili ya kujenga hospitali kubwa Zanzibar yenye kiwango sawa na Muhimbili, kwenye kaeneo ambako ni sawa na wilaya 1 ya Tangayika, na idadi ya watu pungufu kabisa ya waliopo mkoa mmoja wa Tanganyika, wakati Tanganyika, hata kwenye kanda nzima hakuna hospitali kubwa kama ya Muhimbili. Mbaya zaidi deni hilo litalipwa na watanganyika, maana Zanzibar haijawahi kutoa hata shilingi moja kuchangia kulipa mkopo uliochukuliwa na Serikali ya JMT tangu Muungano uasisiwe.
Mauaji ya Oct 29, kwa Wazanzibari yalilenga kuhakikisha mtu wao anabakia madarakani ili aendelee kuiba rasilimali za Tanganyika kwaajili ya kuijenga Zanzibar, na ndiyo maana baada ya kujitangaza, maeneo muhimu yote yanayohusu pesa wamepachikwa Wazanzibari japo Zanzibar ina mchango sifuri kwenye pesa hizo. Aibu na huzuni kubwa ni kwa wanajeshi, UVCCM na polisi wa Tanganyika walioshirikiana na Wazanzibari kuwaua watanganyika wenzao.
Mapinduzi hayakufanywa na Nyerere, yalifanywa John Gideon Okello. Baada ya 'uhuru' waliupata kutoka kwa Muingereza 1963 na Zenji kuwa chini ya Sultan then John Gideon Okello kumpindua Sultan Jamshid bin Abdullah kosa alilofanya Okello ni kwenda Uganda ndipo figisu la Karume na Nyerere lilipotiki(nao ni kama walimpindua Okello in absentia). Hawa jamaa zangu hawawakubali kabisa Waunguja.Mapinduzi wanayakataa Wazanzibari wote kwani hayakufanywa na Wazanzibari . Wewe unajifanya very close wakati Mimi ni Mzanzibari mwenye wazee Pemba na Unguja na Mapinduzi nimeyaona? Wamakonde wa Lindi na Mtwara wakipita wakiuwa watu Bure na kunajisi wahindi na waarabu na kuiba . Yale hayakuwa Mapinduzi yalikuwa Mavamizi ya Nyerere
Wapemba hawakuchoma wala kuiba mali ya mtu,wala hawakuwa na lengo la kuandamana hadi rais atoke madarakaniKwa hiyo unamaanisha na Mkapa alikuwa sahihi vilevile kuwaua Wapemba(nao hapa tuwaite wahuni vilevile).
Sikubaliani na ujinga wanna CCM n uchafuzi, na managing waliyofanya lakini.. Huyu jamaa ni KIAZI, tangu juzi amdhihaki kardinali PengoKingine uzi wako huu una pandikiza mbegu ya chuki, maana hakuna takwimu zenye kuonyesha huyu alikuwa mtanganyika au mzanzibari.
wahuni wali tekeleza walicho kifanya, pasipo kutoa nafasi ya kujua huyu wa huku au kule.
So please wacha hizi mambo mzee, tukemee au kuchukua hatua kwa logics sio hisia.
Muuaji ni muuaji tu, hata kisheria adhabu ya kuiba au kuchoma mali si kumiminiwa live bullets. Rubber bullets, gas cannons, tear gasses na water cannons ndiyo hutumika kwenye kuzuia riots kama lengo ni kuzuia riots na si kuua.Wapemba hawakuchoma wala kuiba mali ya mtu,wala hawakuwa na lengo la kuandamana hadi rais atoke madarakani
Watu 17!!!!!!!?🤔Nadhani walimaanisha mauaji ya January 2001 kufuatia uchaguzi wa November 2000. Serikali na Hayati Mkapa walikiri kuuawa kwa raia 17 na askari 1, na wananchi wengi kuwa wakimbizi kwa kukimbilia Kenya. Hayati Mkapa kwenye kitabu chake alitamka kujutia tukio hilo.
Mngekuja kwa amani angalau mngeweza kusikilizwa, kitendo cha kuja kwa shari kilikuwa kibaya sana kwa watanzania wote.Wewe ndiyo huna aibu kuwa chawa, shameless swine. Hiyo habari kukanushwa wamekanusha mangapi ya ukweli, unakumbuka just recently tukio la Oct'29th walisema hakuna aliyeuawa na baada ya ushahidi kuzidi wakasema waliouawa si Watanzania(literally they meant Watanganyika) then ndugu wa waliouawa walipojitokeza kwa wingi ndipo akaita wazee wa CCM(dubbed as wazee Dar es Salaam) na ndipo Samia wenu huyo akasema kuua kule kulikuwa justified na hata clips za mwanzo walidai ni AI sasa angalia tukio moja maelezo tofauti kibao and you're coming here with your stupidity eti "habari imekanushwa rasmi", kukanushwa rasmi by these very same ass-holes? Do you think you're telling this rubbish stories of yours to some little kids?
Mnajiaibisha sana kwa uchawa, being squeezed to the corner and forced to spread hoaxes is the lowest level of humiliating yourselves.
Bila shaka huna akiliWale jamaa waliovalia fulana na jeans za kubana walitoka ngerengere Morogoro na wengine ni kikosi maalum cha Polisi.
Hapakuwa na sababu ya kukodi polisi kutoka nchi jirani, hizo zilikuwa kauli za kutaka kuipaka matope serikali.