Uchaguzi 2020 Vurugu zatawala ofisi za CCM Dodoma baada ya walioshinda kura za maoni Udiwani kukatwa

17 Julai 2020
Kata ya Madukani
Dodoma mjini
Tanzania

Hali ilivyokuwa Dodoma Julai 17 2020 wakati wa kuchukua fomu za udiwani kupitia CCM, mbwembwe za watia nia wa CCM kata ya Madukani yenye Makao Makuu ya CCM lakini kata hiyo ya Madukani ilikuwa chini ya diwani wa CHADEMA 2015-2020 hivi wanachama wa CCM wanataka Oktoba 2020 kata ya Madukani Dodoma mjini irudi CCM.

 
Utaanzaje kuwakamata wenye polisi yao?. Pigana wewe usiefahamika hadharani, kama hatujakuokota mochwari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimefurahi sana kwa hawa watu kutwangana
 
Itakuwa Nyerere Sita, Mayala, yule ziro wa komedi na mc mpilipili sasa wameshinda! Na yule Konda wa Ilala - Feri ameshinda kwa kishindo! CCM kwa sarakasi za kichina ndiyo wenyewe.
 
Yaacheni yauwane , yanafuata form ya nn kwani si chadema washachukua?
 
Hivi kuna nini CCM wameambiwa wasiwe na tamaa ya uongozi, lakini wameshindwa uvumilivu wa mchakato wa kisiasa wa kuteua wagombea ngazi ya kwenda kugombea udiwani hadi wanashikana mashati
Hao ndiyo maana huwaga mpaka wanarogana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…