Yaani hiyo kauli imenifikirisha na kunisikitisha sana,ina maana Polisi huwa wanafanya makusudi kabisa walishirikiana na CCM kuwaonea wapinzaniDah..jamaa anasikika akisema ETI YEYE SIO MPINZANI hivyo polisi wasimnyanyase
Wamembeleza sana, wanamwambia jambo litashughulikiwa kichamahuyo anae arrestiwa anasema "kwa nini mnatumia dola? mimi sio mpinzani"
Yani CCM wanavyojua wao dola ni ya kushughulikia wapinzani
na kweli video inaonyesha askari wanavyo mu arrest kwa kumbembeleza bembeleza
Wangembeba na kumtupia kwenye gariAngekuwa mpinzani hapo angekula mitama aka mchomvu
Ova
Kwahyo wapinzani ndio Wana haki ya kunyanyaswa hii nchi tulikofika Ni hatariDah..jamaa anasikika akisema ETI YEYE SIO MPINZANI hivyo polisi wasimnyanyase
Na mbaya zaidi ukute walihonga wajumbe wawapigie kuraHali mtaani imekuwa ngumu watu wameona bora siasa wameshinda kura za maoni kuwakata lazima wapaniki
[emoji23][emoji23]Safi sana. Zoezi la kutiana mitama liendelee nchi nzima. Hasa baada ya majina ya wabunge kurudi. Mitama hoyeeeee
Na mbaya zaidi ukute walihonga wajumbe wawapigie kura
Hali ya uchumi mubaya umefanya kila mtu akimbilie siasa, matokeo yake ndio hayo Sasa, watu watauana Sana tuFomu gharama sana CCM lazima mtu apigane maana wote tunaisoma namba mtaani hali ngumu.
Uwe unavaa helmet kichwn Unapokuwa ofisi za ccm hapo maana wakati wowote kinanukaChadema wameshasahau namna walivyomkata Yule bidada na kumpa nafasi John Mrema wanaanza kusheherekea ya wenzao.
Kwani hao Ni wahuni? hakuna wanywa vitoko na ugoro hapo Sasa wakamatwe kwa lipi?Hakuna aliye kamatwa kwa kuandandamana?
Kasema kweli na ndio anavyotakiwa kusema[emoji23]Dah..jamaa anasikika akisema ETI YEYE SIO MPINZANI hivyo polisi wasimnyanyase
Siyo wahuni bali ni vibakaKwani hao Ni wahuni? hakuna wanywa vitoko na ugoro hapo Sasa wakamatwe kwa lipi?