Uchaguzi 2020 Vurugu zatawala ofisi za CCM Dodoma baada ya walioshinda kura za maoni Udiwani kukatwa

Kamati kuu waliwahi kuandamana na kuimba wanaimani na Lowasa lakini bado huyo Lowasa akakatwaa!
Lowasa akahamia upinzani wale waliondamana wakahama nae na kauli mbiu ya UlipoTupo nako akafeli
Msingi wa CCM uko imara sana bado, muda utatoa majibu
 
Hizo ni vurugu kweli?!....... au Dodoma kuna jambo?
 
Hata mimi ningefanya vurugu, kuengeua Watu kwa kigezo cha kutoa rushwa hakitakuwa na uhalisia wowote...CCmM wakubali tu ukweli mchungu kuwa Wagombea karibia wote wametoa ingawa kupata na kukosa kukawa mikononi kwa Wajumbe.
 
Sisi wanaccm hatutakubali uonevuzi
 
Uzuri ni kwamba CCM hawana uchu wa madaraka kama vyama vya upinzani. Tena hawana hata harufu ya rushwa kiasi cha Takukuru kuwaamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…