Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hilo ndiyo jambo la msingi ila nasi ni muhimu kuonyesha jitihada zetu kwa kukemea hii tabiaMungu atusaidie hali si nzuri ila malipo ni hapa hapa duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ndiyo jambo la msingi ila nasi ni muhimu kuonyesha jitihada zetu kwa kukemea hii tabiaMungu atusaidie hali si nzuri ila malipo ni hapa hapa duniani
Dah..jamaa anasikika akisema ETI YEYE SIO MPINZANI hivyo polisi wasimnyanyase
UpoooThis is just the beginning
Hahaha... Nipo dearest. Habari za kupotea?Upooo
NjemaHahaha... Nipo dearest. Habari za kupotea?
Umeadimika sanaNjema
18 Aug 2020
Dodoma, Tanzania
WanaCCM waandamana kupinga maamuzi
Vurugu zinaendelea leo 18 agosti 2020 katika ofisi za CCM Wilaya ya Dodoma mjini baada ya kupokea majina ya wagombea udiwani ambao wamekatwa licha ya kuongoza.
Jana halmashauri ya CCM mkoa wa Dodoma walirudisha majina ya madiwani waliogombea kupitia chama hicho ambapo kata 7 Kati ya 41 za jiji la Dodoma walioongoza walikatwa na kurudishwa wengine ndipo wakaandamana ofisi za wilaya.
Mmoja wa diwani aliyeshinda CCM lakini jina lake lililokatwa amewaomba wanaCCM wa kata ya Changombe kuwa watulivu wasifanye maandamano wasubiri maamuzi ya Halmshauri ya wilaya CCM watakapotafuta ufumbuzi wa sintofahamu hiyo ndani ya CCM .
Chanzo: Mwananchi digital
Furahi maana "rais Lissu" ataongeza madiwani!Hakuna aliye kamatwa kwa kuandandamana?
Ni kuanzia madiwani, ubunge na urais.
Sisi wanaccm hatutakubali uonevuzi18 Aug 2020
Dodoma, Tanzania
WanaCCM waandamana kupinga maamuzi
Vurugu zinaendelea leo 18 agosti 2020 katika ofisi za CCM Wilaya ya Dodoma mjini baada ya kupokea majina ya wagombea udiwani ambao wamekatwa licha ya kuongoza.
Jana halmashauri ya CCM mkoa wa Dodoma walirudisha majina ya madiwani waliogombea kupitia chama hicho ambapo kata 7 Kati ya 41 za jiji la Dodoma walioongoza walikatwa na kurudishwa wengine ndipo wakaandamana ofisi za wilaya.
Mmoja wa diwani aliyeshinda CCM lakini jina lake lililokatwa amewaomba wanaCCM wa kata ya Changombe kuwa watulivu wasifanye maandamano wasubiri maamuzi ya Halmshauri ya wilaya CCM watakapotafuta ufumbuzi wa sintofahamu hiyo ndani ya CCM .
Chanzo: Mwananchi digital
18 Aug 2020
Dodoma, Tanzania
WanaCCM waandamana kupinga maamuzi
Vurugu zinaendelea leo 18 agosti 2020 katika ofisi za CCM Wilaya ya Dodoma mjini baada ya kupokea majina ya wagombea udiwani ambao wamekatwa licha ya kuongoza.
Jana halmashauri ya CCM mkoa wa Dodoma walirudisha majina ya madiwani waliogombea kupitia chama hicho ambapo kata 7 Kati ya 41 za jiji la Dodoma walioongoza walikatwa na kurudishwa wengine ndipo wakaandamana ofisi za wilaya.
Mmoja wa diwani aliyeshinda CCM lakini jina lake lililokatwa amewaomba wanaCCM wa kata ya Changombe kuwa watulivu wasifanye maandamano wasubiri maamuzi ya Halmshauri ya wilaya CCM watakapotafuta ufumbuzi wa sintofahamu hiyo ndani ya CCM .
Chanzo: Mwananchi digital
Machadema yanasubiri mkono udondoke.Mliokatwa hameni
Ana deal na majambazi hao wanasiasa watamalizana ofisini.Yule RPC mwenye mkwara Dodoma yuko wapi? Mbona kimya sana, au hizi ni sherehe sio uvunjifu wa amani?