Uchaguzi 2020 Vurugu zatawala ofisi za CCM Dodoma baada ya walioshinda kura za maoni Udiwani kukatwa

Ahhhahha,CHADEMA noma sana aisee
Yaani makao makuuu ya CCM yapo chini ya utawala wa CHADEMA,ahhahaha
Shikamooo CHADEMA
 
 

Attachments

  • VID-20200818-WA0023.mp4
    13.5 MB
MUNGU WA RAISI WETU naomba diwani wa kata ya IKUTI RUNGWE asipite.

Miaka 15 bila chochote kipya alicholeta kipya kimaendeleo kata ya ikuti inatosha.
 
Tuache kukuza mambo hivi ni vitu vidogo sana, viko ndani ya uwezo ccm ni chama Kubwa hali itakuwa shwari hivi punde
 
Si umeona watoto wa baba mwenye nyumba wanavyo bembelezwa kupanda kwenye karandinga? Hapo kama ingekuwa watoto wa kambo ungeona mtaa mzima umejaa FFU na mirindimo ya mabomu na wengine kuvunjwa viuno kama sio mikono.
Hakika ni mambo ya aibu sana. Ila ni jambo la muda tu yana mwisho wake na wao wataanza kuonja machungu tunayo pambana nayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afande ndio kawa msemaji wa chama. Baada yakuwahutubia waandamanaji ametoa amri ya watu kutawanyika. Waandamanaji nao wamegoma kuondoka, hatuondoki mpaka tumsikilize mgombea anasemaje? Afande anakaa pembeni anampisha mgombea aongee na waandamanaji.
Huku mwingine anagoma kupanda kwenye karandinga, polisi wanam'bembeleza kama bwana harusi, na kwa majigambo anasema "mimi sio mpinzani kwa nini umeniletea dola".
 
Maccm kila siku wanatuambia tujiajiri tuache uvivu sasa wanalilia nini siwakajiajiri
 
Pimbi mkuu muroto kushindwa kuwapigisha kipogo cha mbwa koko au cha kuchakaa huo ni mwanzo mwaka huu hii nchi damu inamwagika kwa kichaa wa kihutu kupewa lungu.
 

Uzalendo na kanuni za utumishi kazisahau kaamua kuwa msemaji wa chama .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…