Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
17 Julai 2020
Kata ya Madukani
Dodoma mjini
Tanzania
Hali ilivyokuwa Dodoma Julai 17 2020 wakati wa kuchukua fomu za udiwani kupitia CCM, mbwembwe za watia nia wa CCM kata ya Madukani yenye Makao Makuu ya CCM lakini kata hiyo ya Madukani ilikuwa chini ya diwani wa CHADEMA 2015-2020 hivi wanachama wa CCM wanataka Oktoba 2020 kata ya Madukani Dodoma mjini irudi CCM.
18 Aug 2020
Dodoma, Tanzania
WanaCCM waandamana kupinga maamuzi
Vurugu zinaendelea leo 18 agosti 2020 katika ofisi za CCM Wilaya ya Dodoma mjini baada ya kupokea majina ya wagombea udiwani ambao wamekatwa licha ya kuongoza.
Jana halmashauri ya CCM mkoa wa Dodoma walirudisha majina ya madiwani waliogombea kupitia chama hicho ambapo kata 7 Kati ya 41 za jiji la Dodoma walioongoza walikatwa na kurudishwa wengine ndipo wakaandamana ofisi za wilaya.
Mmoja wa diwani aliyeshinda CCM lakini jina lake lililokatwa amewaomba wanaCCM wa kata ya Changombe kuwa watulivu wasifanye maandamano wasubiri maamuzi ya Halmshauri ya wilaya CCM watakapotafuta ufumbuzi wa sintofahamu hiyo ndani ya CCM .
Chanzo: Mwananchi digital
Ahhhahha,CHADEMA noma sana aisee
Yaani makao makuuu ya CCM yapo chini ya utawala wa CHADEMA,ahhahaha
Shikamooo CHADEMA
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Dah..jamaa anasikika akisema ETI YEYE SIO MPINZANI hivyo polisi wasimnyanyase
Wengine hawaView attachment 1541539
Si umeona watoto wa baba mwenye nyumba wanavyo bembelezwa kupanda kwenye karandinga? Hapo kama ingekuwa watoto wa kambo ungeona mtaa mzima umejaa FFU na mirindimo ya mabomu na wengine kuvunjwa viuno kama sio mikono.Hakuna aliye kamatwa kwa kuandandamana?
Hakika ni mambo ya aibu sana. Ila ni jambo la muda tu yana mwisho wake na wao wataanza kuonja machungu tunayo pambana nayo.Si umeona watoto wa baba mwenye nyumba wanavyo bembelezwa kupanda kwenye karandinga? Hapo kama ingekuwa watoto wa kambo ungeona mtaa mzima umejaa FFU na mirindimo ya mabomu na wengine kuvunjwa viuno kama sio mikono.
18 Aug 2020
Dodoma, Tanzania
WanaCCM waandamana kupinga maamuzi
Vurugu zinaendelea leo 18 agosti 2020 katika ofisi za CCM Wilaya ya Dodoma mjini baada ya kupokea majina ya wagombea udiwani ambao wamekatwa licha ya kuongoza.
Jana halmashauri ya CCM mkoa wa Dodoma walirudisha majina ya madiwani waliogombea kupitia chama hicho ambapo kata 7 Kati ya 41 za jiji la Dodoma walioongoza walikatwa na kurudishwa wengine ndipo wakaandamana ofisi za wilaya.
Mmoja wa diwani aliyeshinda CCM lakini jina lake lililokatwa amewaomba wanaCCM wa kata ya Changombe kuwa watulivu wasifanye maandamano wasubiri maamuzi ya Halmshauri ya wilaya CCM watakapotafuta ufumbuzi wa sintofahamu hiyo ndani ya CCM .
Chanzo: Mwananchi digital
18 Aug 2020
Dodoma, Tanzania
WanaCCM waandamana kupinga maamuzi
Vurugu zinaendelea leo 18 agosti 2020 katika ofisi za CCM Wilaya ya Dodoma mjini baada ya kupokea majina ya wagombea udiwani ambao wamekatwa licha ya kuongoza.
Jana halmashauri ya CCM mkoa wa Dodoma walirudisha majina ya madiwani waliogombea kupitia chama hicho ambapo kata 7 Kati ya 41 za jiji la Dodoma walioongoza walikatwa na kurudishwa wengine ndipo wakaandamana ofisi za wilaya.
Mmoja wa diwani aliyeshinda CCM lakini jina lake lililokatwa amewaomba wanaCCM wa kata ya Changombe kuwa watulivu wasifanye maandamano wasubiri maamuzi ya Halmshauri ya wilaya CCM watakapotafuta ufumbuzi wa sintofahamu hiyo ndani ya CCM .
Chanzo: Mwananchi digital
MGOMBEA ALIA NA CHAMA BAADA YA KUSHINDA NA KUKATWA
Mshindi wa pili katika kura za wajumbe abaki na mshangao taratibu za maamuzi kupingana wakati aliletewa taarifa za kuteuliwa rasmi kuwakilisha CCM
18 Julai 2020
Dodoma
CCM WAGOMBANA,POLISI WAINGILIA KATI
Wanachama Dodoma wilaya kata ya Ipagala, Nziguni, Kizota watilia shaka maelezo kuwa hiyo ni taarifa toka juu kuwa washindi wa kura za juu ndiyo wepewe uteuzi kuwakilisha CCM inapingana na maamuzi ya vikao vya Halmashauri ya wilaya ya Dodoma
Mkuu hawa watu hawajui kitu kinachoitwa aibu, si polisi wala si ccm.Hakika ni mambo ya aibu sana. Ila ni jambo la muda tu yana mwisho wake na wao wataanza kuonja machungu tunayo pambana nayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afande ndio kawa msemaji wa chama. Baada yakuwahutubia waandamanaji ametoa amri ya watu kutawanyika. Waandamanaji nao wamegoma kuondoka, hatuondoki mpaka tumsikilize mgombea anasemaje? Afande anakaa pembeni anampisha mgombea aongee na waandamanaji.
Huku mwingine anagoma kupanda kwenye karandinga, polisi wanam'bembeleza kama bwana harusi, na kwa majigambo anasema "mimi sio mpinzani kwa nini umeniletea dola".
Katika awamu hii huo ndio uzalendo haswa, usishangae ukisikia amepandishwa cheo.Uzalendo na kanuni za utumishi kazisahau kaamua kuwa msemaji wa chama .