Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,557
- 1,540
Ivi kondakta nae akirudishwa kwenye ubunge tutaambia nini watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana anabembelezwa kama yai! Hizo ndiyo mentallity za hovyo za CCM na vyombo vya dola kuwa wakunyanyaswa ni wapinzani! Aibu kubwa sana!Dah..jamaa anasikika akisema ETI YEYE SIO MPINZANI hivyo polisi wasimnyanyase
18 Aug 2020
Dodoma, Tanzania
WanaCCM waandamana kupinga maamuzi
Vurugu zinaendelea leo 18 agosti 2020 katika ofisi za CCM Wilaya ya Dodoma mjini baada ya kupokea majina ya wagombea udiwani ambao wamekatwa licha ya kuongoza.
Jana halmashauri ya CCM mkoa wa Dodoma walirudisha majina ya madiwani waliogombea kupitia chama hicho ambapo kata 7 Kati ya 41 za jiji la Dodoma walioongoza walikatwa na kurudishwa wengine ndipo wakaandamana ofisi za wilaya.
Mmoja wa diwani aliyeshinda CCM lakini jina lake lililokatwa amewaomba wanaCCM wa kata ya Changombe kuwa watulivu wasifanye maandamano wasubiri maamuzi ya Halmshauri ya wilaya CCM watakapotafuta ufumbuzi wa sintofahamu hiyo ndani ya CCM .
Chanzo: Mwananchi digital
Kimenuka
Sasa mnalalamika Nini wakati hamna haja na takataka?Cdm haina haja na taka taka
Nani au wapi umemuona mwana cdm analilia hao magamba? Cdm haina shida na wachumia tumboSasa mnalalamika Nini wakati hamna haja na takataka?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Na hata kumgusa na yale maneno ya kishenzi aliyokuwa anaambiwa Sugu Mbeya wala hayakuwepo zaidi ya kumbembeleza.Dah..jamaa anasikika akisema ETI YEYE SIO MPINZANI hivyo polisi wasimnyanyase
Ila kama ni wale wa kule, wangepata kipigo cha mbwa koko.Hapo muroto hana cha kufanya maana hapo ndiyo makao makuu ya chama
Wajawa na ubaguzi sana hao watuIla kama ni wale wa kule, wangepata kipigo cha mbwa koko.
Yaani nchi hii imekuwa ya kipumbavu sana ina maana wanapigwa ni wapinzani tu? Na Polisi wanafanya kosa la kipumbavu kujishikamanisha na CCM. Yaani leo huyo angekuwa mpinzani angevunjwavunjwa! Pumbavu kabisa hili jeshi!Dah..jamaa anasikika akisema ETI YEYE SIO MPINZANI hivyo polisi wasimnyanyase
Aliesema "CCM ni mafisi" hakukosea!Vurugu zimeibuka katika ofisi za CCM Wilaya ya Dodoma baada ya makada wa CCM wanaodai majina ya wagombea udiwani yaliyopitishwa yamebadilishwa bila sababu za msingi katika baadhi ya kata za Wilaya ya hiyo kuweka kambi katika ofisi hizo
View attachment 1541505
Wengine hawaUkoo wa panya.