Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,604
- 3,319
Mwaka 2016 nilisikia Sai kama sikosei ndio anataka mtoa jamaa kwa kipindi hiki kweli kuna watu ndani ya chama wanakubalika wanaweza muondoa maana hata mimi mwenyewe kusema kweli chale nilikuwa simuelewi kabisaa yule jamaa hana vision yoyote kuhusu ikutiBado hatujapata majibu wenda leo tukapata maana amejitapa lazima apite ahudumu miaka 20.
Sijui hata Ccm wanampitisha kwa manufaa yepi maana hata mpango kazi hajui yeye ni tuamri twa kipuuzi.
Mji wa ikuti unakuwa lakini unakuwa kihorela. Soko kuu halieleweki halina choo kataa haina sehemu maalumu y kuzikia maiti.
Kata haina stand ya magari wala ya maegesho ya msgari yanayobeba mazao.
YAANI UONGOZI UNAONA IKUTI BADO SANA KUMBE NDO KUMEKUCHA ILA BONGO ZAO ZIMELALA.