Uchaguzi 2020 Vurugu zatawala ofisi za CCM Dodoma baada ya walioshinda kura za maoni Udiwani kukatwa

Uchaguzi 2020 Vurugu zatawala ofisi za CCM Dodoma baada ya walioshinda kura za maoni Udiwani kukatwa

Bado hatujapata majibu wenda leo tukapata maana amejitapa lazima apite ahudumu miaka 20.


Sijui hata Ccm wanampitisha kwa manufaa yepi maana hata mpango kazi hajui yeye ni tuamri twa kipuuzi.

Mji wa ikuti unakuwa lakini unakuwa kihorela. Soko kuu halieleweki halina choo kataa haina sehemu maalumu y kuzikia maiti.

Kata haina stand ya magari wala ya maegesho ya msgari yanayobeba mazao.

YAANI UONGOZI UNAONA IKUTI BADO SANA KUMBE NDO KUMEKUCHA ILA BONGO ZAO ZIMELALA.
Mwaka 2016 nilisikia Sai kama sikosei ndio anataka mtoa jamaa kwa kipindi hiki kweli kuna watu ndani ya chama wanakubalika wanaweza muondoa maana hata mimi mwenyewe kusema kweli chale nilikuwa simuelewi kabisaa yule jamaa hana vision yoyote kuhusu ikuti
 
Aisee, laana za akina Ben Saanane, Azory Gwanda na wengineo wengi waliopotezwa kimabavu na utawala huu wa CCM imeanza kufanya kazi.
Ni ujinga kuunganisha mambo ambayo hayahusiani. Hao wafu hawana laana zozote. Zaidi sana ni kwa mwenyekiti wenu aliowapoteza.
 
Hivi kuna nini CCM wameambiwa wasiwe na tamaa ya uongozi, lakini wameshindwa uvumilivu wa mchakato wa kisiasa wa kuteua wagombea ngazi ya kwenda kugombea udiwani hadi wanashikana mashati
Huo Ni udiwani tu, je, watakaokatwa ubunge, je waliotaka kugombea urais?
 
Kwa jirani hiiiiiiii bhaghosha! Huyo wa hilo jabali sasa! CCM kumeanza kunoga. Lazima tutoe movie mwaka huu.

Huyu kiongozi aligoma kumpa barua ya uteuzi mgombea wa udiwani mmoja aliyepitishwa na CCM mkoa kwa madai kuwa amepokea maagizo kutoka kwa Bashiru Ali kubatilisha uteuzi wa mgombea huyo! Ndipo ikabidi kinuke. Na aliyebeba jabali ndiye mgombea mwenyewe ambaye uteuzi wake ulibatilishwa na Bashiru Ali ambaye ni katibu mkuu wa CCM taifa kwa mujibu wa maelezo ya huyo mama.
 
Pongezi kwa polisi kutumia busara, na busara hiyo hiyo ya Polisi iendelee kutumika ktk shughuli za kisiasa kwa vyama vingine.
Kwa Mara ya kwanza nawasikia polisi wakiongea Kama wanasiasa.
 
Hii ndiyo CCM mpya. Imekomesha rushwa, imenunua ndege, inatoa elimu bure. lakini haiamini uchaguzi ulio huru na haki. Nguvu za wajumbe hazijafua dafu.
 
Hongera sana mkuu kwa kupata mtoto mwenye akili
Familia yangu yote nimeifundisha kweli, inaujua ukweli, tulishakuwa katika tukio moja ambalo mwanangu alishuhudia watanzania wakiwa harassed na jeshi la polisi, yan harshly treated kwa vile tu wana mrengo tofauti wa kisiasa
 
Back
Top Bottom