Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,987
- 5,566
😆Huyo aliyenyanyua hilo tofa 🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndiyo CCM halisi isiyokuwa na Taswira ya Mwenyekiti wao!.
Mtoto ana akili kweli huyo, maana EPA Ni wao, Richmond Ni wao, IPTL Ni wao, nyumba kuuzwa Ni wao, agreko Ni wao, kuuzwa nyumba ni wao, rushwa kukithiri ni wao, ukosefu wa maji Ni wao....Hongera sana mkuu kwa kupata mtoto mwenye akili
Mpasuko!!!!!!!!!!!!! Haki inapoporwa!!!!!!!Kimenuka
Mods Wanataka tujadili siasaa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rikiboy unaleta masihara ya kula tunda!
Nape itabidi waanze kupigana mabuti wenyewe kwa wenyeweDodoma madiwani wanafurugana tu mara Barua itumwe alieshinda kwa kura za wajumbe ndie mgombea. Mara waseme mgombea ni yule alieteuliwa na Kamati ya ccm hata kama alikuwa na Kura 2..!![emoji23][emoji23][emoji23]
Yani vita itakayotokea ndani ya ccm mwaka huu ni balaaa sasa washaanza kufarakana mapema hivi majina ya Ubunge yakitoka ndo hatarii tupu. Mara Nape na Makamba nje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bashite ndaniii...ohoo sema mufarakaneee tu yani mzichapeee hasaaa.
Nape anadhani mzee baba kasahau uhaini wao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nape itabidi waanze kupigana mabuti wenyewe kwa wenyewe
Siyo lazima kuanzisha thread kama huna jipya.Dodoma madiwani wanavurugana tu mara Barua itumwe alieshinda kwa kura za wajumbe ndie mgombea. Mara waseme mgombea ni yule alieteuliwa na Kamati ya ccm hata kama alikuwa na Kura 2..!![emoji23][emoji23][emoji23]
Yani vita itakayotokea ndani ya ccm mwaka huu ni balaaa sasa washaanza kufarakana mapema hivi majina ya Ubunge yakitoka ndo hatarii tupu. Mara Nape na Makamba nje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bashite ndaniii...ohoo sema mufarakaneee tu yani mzichapeee hasaaa.
Siyo mitama... mtama mmoja unaitwa mchmvu, mingi michomvuSafi sana. Tena msimu huu ni mwendo wa mitama tu kama Adam mchomvu.
Mitama hoyeee
Sawa JechaKwa mamlaka nliopewa nafuta chaguzi zote mpaka 2025.
Huyo atakuwa Jocha sio Jecha tena!Sawa Jecha