Vyakula gani huwezi kula hata iweje?

Upo sahihi sana mkuu. Watu wengi wanaongea hapa kwasababu wanazo option. Lkn ikikutokea situation kama uliyoeleza hapo, hakika karibu kila chakula kinaliwa labda hicho chakula kiwe si chakula kabisa kwenye jamii yetu kama vile nyoka
 
Mnafikiri kufa ni rahisi hivyo?

Sema tu hamjakuwa kwenye situation ambayo hakuna namna nyingine lakini trust me ukijikuta mazingira ambayo hauna option nyingine utakula tu.

Amini kwamba.
Najua sio rahisi hiyo ni lugha tu kuonyesha ni kiasi gani sikipendi hicho chakula..mimi mwenyewe ninayesema hivyo unadhani sijawahi kula? Nimekula sana tu ila katika hali ya kawaida sili kwa kweli.
 
Najua sio rahisi hiyo ni lugha tu kuonyesha ni kiasi gani sikipendi hicho chakula..mimi mwenyewe ninayesema hivyo unadhani sijawahi kula? Nimekula sana tu ila katika hali ya kawaida sili kwa kweli
Hahaha. Hapo sawa. Kwakweli kuna mazingira unaweza kuwepo ukala chochote kinachoweza kulika hata majani ya porini.

Kuna siku nipo chaka fulani umasaini huko nimekaa siku mbili sijala asee tulifika kwenye boma moja tukapewa ugali kiporo na chai ya maziwa ila ukiangalia hata hivyo vyombo vilivyo vichafu kwa hali ya kawaida hauwezi kula kamwe. Ila tulipiga fresh kabisa tena hata maji ya kunawa hakuna unashika ugali unabakia na rangi kama umepakwa udongo.

Maji unakunywa yaliyotuama na hapo hapo ng'ombe wanakunywa na kunya kwenye hilo dimbwi. Yani unafunga tu macho usione unachokunywa ila huwezi kuacha kunywa.
 
Duuh hatari sana
 
Majani ya Kunde, choroko, mbaazi hapana bora nife njaa..!mihogo iliyoungwa nazi nitakula huku Moyoni nimenuna balaa!!
 
Majani ya Kunde, choroko, mbaazi hapana bora nife njaa..!mihogo iliyoungwa nazi nitakula huku Moyoni nimenuna balaa!!
Nilikula mbaazi kisutu zilipikwa na mama wa kihindi na chapat na kipande cha kuku..sijawai kula mbaazi tamu kama zile..sjui alipikaje yule mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabeji naipenda sana mana insnikumbusha RTS kunduchi mwaka 1998...
Intake ya kina Sanko hiyo, Kuna msela mmoja alikuwa anaitwa Sanko,alikuwa mtata, na someone wakuitwa Mwalongo,

Huyo Sanko jeshi walimvumilia end of the day wakampiga chini, baadae akaenda kuwa mwizi sijui Jambazi akatiwa Moto,

aisee kitambo
 
Mnafikiri kufa ni rahisi hivyo?

Sema tu hamjakuwa kwenye situation ambayo hakuna namna nyingine lakini trust me ukijikuta mazingira ambayo hauna option nyingine utakula tu.

Amini kwamba.
Najua sio rahisi hiyo ni lugha tu kuonyesha ni kiasi gani sikipendi hicho chakula..mimi mwenyewe ninayesema hivyo unadhani sijawahi kula? Nimekula sana tu ila katika hali ya kawaida sili kwa kweli.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
Ninayo list ya vyakula anavyopenda shemeji yako na asivyopenda...bahati nzuri hatujawahi kufikiria kula kabichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…