mkulima gwakikolo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 1,767
- 2,855
Njaa mbaya sana. Watu kama ninyi mnaongelea ukabila mnapokua mumekosa hoja. Hakuna mageuzi yanayoanza wengi. Watu hamjui historia. Hata mnaojidai CCM vindakindaki hamjui kwamba CCM. Wanzilishi wengi walitokea mikoa ya Pwani. Leo hii munakula kwa mrija hata ambao hamupgania,tena mnafanya siasa chafu ili kulinda mikate yenu..lazma tukubali mageuzi yanaanza na kundi mwishowe wote hupata matunda kama Taifa. Kwann m ufanye ubaguzi wakat nchi ni yetu sote!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi kama ni Wabeba CCM,nyinyi CHADEMA mbona ni kipindi cha Wahuni Wanaharakati.(Chaga Development Movement Association). Hamna la maana bali mnataka kuirudisha nchi nyuma kwa kushirikiana na hao Washirika wenu wa Ulaya.Nendeni na muwaambie Tanzania iko IMARA na wenye tupo.Jihadharini msizime makaa ya moto kwa ulimi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app