johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #81
Katika kura milioni 6 za Lowassa kule UKAWA na za CUF zimo tena ndio nyingi......so usiwachukulie poa meku!Nimekwambia time and again kuwa na wewe ni wale wale! Hivi ni vyama? Jumlisha kkura zao uchaguzi wa 2015 then rudi hapa utoe mrejesho! Of what effect these vyama?
Kwa ujumla hata CHADEMA ni SACOS tu! Kwanini haoni sababu ya kuwasiliana na wenzake. Amjishau kwamba hana kiti hata kiomoja Zanzibar. wenzake uchaguzi ujao wanapata viti vyote vya Pemba na vingine vya bara.
Vyama 12 vya upinzani nchini vimesema vitashiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu chini ya Tume ya uchaguzi iliyopo kwani wana imani nayo na pia wana imani na Rais Magufuli.
Makatibu wakuu wa vyama hivyo wakiongea na waandishi wa habari wamesema Mbowe na Chadema ni miongoni mwa waliosababisha tukose Tume huru ya uchaguzi baada ya kususia bunge la katiba halafu leo anawahadaa wananchi eti waikatae NEC.
Viongozi hao pia wamemshukia Zitto na kudai kuwa ni kiongozi mbinafsi anayetanguliza maslahi yake mbele badala ya maslahi ya taifa.
Miongoni mwa vyama vilivyozungumza kwenye mkutano huo ni pamoja na TLP, DP, CUF, UDP na NRA
Source TBC habari
Maendeleo hayana vyama!

Kama sacos ya ufipa.
Akina Abel Muzorewa, Ndabaningi Sithole wa Rhodesia bado wapo na wanalindwa ili kuendeleza vyama vya VIONGOZI wanaokula mezani pa CCMMakatibu wakuu wa vyama hivyo wakiongea na waandishi wa habari wamesema Mbowe na Chadema ni miongoni mwa waliosababisha tukose Tume huru ya uchaguzi baada ya kususia bunge la katiba halafu leo anawahadaa wananchi eti waikatae NEC.