Huwezi kuitoa CCM bila kuwa na mikakati iliyotukuka, ni wakati sasa wa vyama pinzani kukaa chini na kutafakari wapi walikosea, wapi wanakosea!! Vyama pinzani vina haja kubwa ya kujitathimini kwa kina, but kulaumu kuwa wameibiwa huu ni upuuzi wa kiwango cha juu!! CCM ina miaka mingi sana madarakani, huezi kuing'oa kwa mbinu za kitoto za kupigapiga makelele,
Wanapaswa kutengeneza Misingi imara, watengeneze base ya kutosha, wawe na plan nzito, wawe na strategies nzuri, CCM ina ina misingi imara, CCM ina asset watu ya kutosha, kuna watu wasipopiga kura kwa CCM wanajiona ni wasaliti!!
Hakuna wizi wala nini huo ndio ukweli!! Kama wanabisha wale mawakala wa vyama walipewa nakala za matokeo, wachukue zile then wajumlishe afu waone walichopanda, !!