Uchaguzi 2020 Vyama tisa vya upinzani vyatoa tamko kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020

Uchaguzi 2020 Vyama tisa vya upinzani vyatoa tamko kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020

Daftari la msajiri wa vyama lina vyama vingi vyote viunge mkono juhudi, tuwahi kwenye nchi ya asali.
 
Baada ya masaa 72 Mbowe atakuwa waziri mkuu.
CHADEMA wana ndoto nzuri sana kwakweli.
Mkuu ingetokea Lissu ndie!! Huenda ungekuwa miongoni mwa wasaliti kumponda wa awali na kuhamia mtaa mwingine imani.
 
Back
Top Bottom