Nenda kaliseme hili kwenye kijiji kimoja uone! Watu wamechafuka wino kwa ajili ya JPM
Umemaliza.JPM hajachaguliwa na Watanzania kachaguliwa na NEC na TISS kwa msaada wa Jamana Printers.
Hawajajipanga nini sasa? Hawakununua mabegi ya kuweka kura feki au hawakuwapa JAMANA fungu?Wapinzani hamkujiandaa tulieni tuu jipangeni upya kwasasa hapana acha twende na huyu Mzalendo Magufuli.
Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Vyote kwa pamoja vina asilimia ngapiVyama tisa vya upinzani vimetoa tamko la kukubali matokeo ya uchaguzi mkuu wa Tanzania uliofanyika Oktoba 28, 2020 na mgombea wa CCM, Dkt. John Magufuli kuibuka mshindi baada ya kupata 84.4% ya kura zote.
Katika tamko lao, vyama hivyo vimempongeza mgombea huyo kwa kushinda na kusema kwamba mambo aliyoyafanya ndani ya miaka mitano iliyopita yamechangia kwa kiasi kikubwa ushindi wake.
Vyama hivyo pia vimeipongeza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kuratibu uchaguzi huo uliohusisha vyama 15.
MY TAKE:
Tamko la vyama zaidi tisa ni tamko kubwa
The end results justify the means ....kushindwa vibaya kwa upinzani maana yake strategies zao hazikuwa sawa wakajipange.Hawajajipanga nini sasa? Hawakununua mabegi ya kuweka kura feki au hawakuwapa JAMANA fungu?
Wamuue[emoji23][emoji23][emoji23]Nenda kaliseme hili kwenye kijiji kimoja uone! Watu wamechafuka wino kwa ajili ya JPM
Hivi Chadema ina wajumbe wao Wa nyumba kumikumi?!!!
Hivi ni rahisi Kushinda uchaguzi ilihali huna WENYEVITI WA SERIKALI YA MTAA?!!
Hivi unashindaje uchaguzi mkuu bila ya TUME HURU?!!
Hivi si mh.Mbowe aliyewahadaa nguli wa upinzani kwa kuibadilisha GIA angani na kumchukua mh.Lowassa ule mwaka 2015?!!!
Hivi kutaka Kuheshimu katiba ya nchi hakuanzi na Kuheshimu taratibu zilizoko ndani ya vyama vya upinzani na pia katiba zao?!!!!
Sikumbuki kama mh.Mbowe alifuata taratibu za kumteua mgombea wa urais wa Chadema ule mwaka 2015.....
Taifa Letu....
Amani Yetu....
Kijijini mbali, aende tuu hapo barabarani atamke hayo maneno aone.
Kujifariji heri waendelee kuyaweka kwenye twita ambayo inatomika zaidi na kutoa matamko kati ya vibaraka na mabwana zao[emoji41]
Hawajajipanga nini sasa? Hawakununua mabegi ya kuweka kura feki au hawakuwapa JAMANA fungu?
The end results justify the means ....kushindwa vibaya kwa upinzani maana yake strategies zao hazikuwa sawa wakajipange.
Huu ni muda wa kujenga nchi na Kiongozi tunaye Magufuli ANATOSHA.
Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Haya tungoje Amsterdam atasema nini juu ya tamko la hivyo vyama,Vyama tisa vya upinzani vimetoa tamko la kukubali matokeo ya uchaguzi mkuu wa Tanzania uliofanyika Oktoba 28, 2020 na mgombea wa CCM, Dkt. John Magufuli kuibuka mshindi baada ya kupata 84.4% ya kura zote.
Katika tamko lao, vyama hivyo vimempongeza mgombea huyo kwa kushinda na kusema kwamba mambo aliyoyafanya ndani ya miaka mitano iliyopita yamechangia kwa kiasi kikubwa ushindi wake.
Vyama hivyo pia vimeipongeza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kuratibu uchaguzi huo uliohusisha vyama 15.
MY TAKE:
Tamko la vyama zaidi tisa ni tamko kubwa
Hii picha yahusu nini ?!Hivi hawa nao ni wapinzani kweli.
View attachment 1616832
Ndo kusema matokeo ya uchaguzi na kura zilizotangazwa na NEC ni "genuine" siyo?Hesabu jumla ya kura za hivyo vyama vyote tisa, alafu ndo ujenge ukubwa wa tamko lao!
Sio kila binadamu mkuu,ni baadhi ambao wametunukiwa umasikini wa akili,mwili,roho na akili.Akili yako inafanana na hivyo vyama tisa. Hivi kwa nini binadamu huwa anajitoa ufahamu linapokuja suala la maslai?