N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 10,856 Reaction score 14,607 Nov 1, 2020 #61 Daftari la msajiri wa vyama lina vyama vingi vyote viunge mkono juhudi, tuwahi kwenye nchi ya asali.
jingalao JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 36,197 Reaction score 29,717 Nov 2, 2020 Thread starter #62 santesandy said: Hapana, lakini jingalao hujibiwa sawasawa na ujinga wake! Click to expand... bila shaka
santesandy said: Hapana, lakini jingalao hujibiwa sawasawa na ujinga wake! Click to expand... bila shaka
VAPS JF-Expert Member Joined Jul 10, 2012 Posts 5,610 Reaction score 13,168 Nov 2, 2020 #63 NAWATAFUNA said: Baada ya masaa 72 Mbowe atakuwa waziri mkuu. CHADEMA wana ndoto nzuri sana kwakweli. Click to expand... Mkuu ingetokea Lissu ndie!! Huenda ungekuwa miongoni mwa wasaliti kumponda wa awali na kuhamia mtaa mwingine imani.
NAWATAFUNA said: Baada ya masaa 72 Mbowe atakuwa waziri mkuu. CHADEMA wana ndoto nzuri sana kwakweli. Click to expand... Mkuu ingetokea Lissu ndie!! Huenda ungekuwa miongoni mwa wasaliti kumponda wa awali na kuhamia mtaa mwingine imani.