Tetesi: Vyombo vya Usalama vilivyojipanga kumpokea Tundu Lissu

Msinitupie mawe mazee haya nimeyapata na mengine kuyaona hapo JNIA nilipotua mchana leo.
Huku kuhangaika kwenu ndiko kunakowafanya kuonekana majuha aiseee!

Hebu jisome ulichoandika hapo kwenye hilo bandiko. Unadhani hapo kuna lolote la kumzuia Lissu asirudi nyumbani?
 
Huku kuhangaika kwenu ndiko kunakowafanya kuonekana majuha aiseee!

Hebu jisome ulichoandika hapo kwenye hilo bandiko. Unadhani hapo kuna lolote la kumzuia Lissu asirudi nyumbani?

Usijali sana hizo ni tetesi tu.
 
TL apambane na hali yake hakuna ulinzi wowote atakaopewa.
 
Usaliti huwa haupelekwi mahakamani wewe zero brain. Kasome Biblia ujue adhabu ya msaliti ni ipi? Hata mabeberu wanalijua hilo ndiyo maana Snowden amekimbia nchi. Na huyo msaliti wako hawezi kuwa Rais milele acha ale pesa za watu wasiojitambua kama wewe!
 
Kwa hiyo CAG ndio mungu wenu?
Jibu swali basis ya wizi wa bilion nane zimetoka wapi? Yaani forensic auditor gani alisema zimeibiwa alafu CAG akashindwa kuthibitisha? Mind you hesabu zao pia zimepita kwa external auditors!!

Shida elimu ndogo alafu unataka kubishana mambo ya kitaaluma!!
 
Hakuna upuuzi wa namna hiyo kwa mtu anayerudi kwao.
 
Nyie bishaneni siasa za ndani, mambo ya kimataifa hamyawezi. Snowden akirudi atashtakiwa mahakamani kabisa na anaweza kufungwa/kushinda kesi na hukumu zinajulikana.

Lissu kasaliti nini? Niambie kimoja tu maana nashangaa walioingia mikataba ya kununua vifaa vya jeshi kifisadi kina Lugola sio wasaliti ila Lissu ndio msaliti? Hvi tunajitambua kweli?
 
Hawa jamaa watakuwa wana na aina nyingine ya elimu waliosoma tofauti na ile elimu tunaoyipata wengine manake yaani andiko hili ukilisoma utashangaa kama kweli liaweza kuandikwa na mtu alieenda shule ya kawaida hata darasa saba hawezi andika hivi aisee....Mwanangu akikosa kazi bora akilime mpunga nas sio geshi la polithi..
 
Reactions: HRT
Mkuu richard noted!!kwa jeshi linaloongozwa na jpm lolote linawezekana!!!hata kumkataza kabisa asiingie nchini!!
 
Sasa wewe una elimu gani? Elimu unayopewa na mlevi wa konyagi?
 
risasi 16 ziliingia mwilini hakufa.
Mkapa hajarushiwa hata jiwe lakini chali.

so.... hivi vitu vya chekechea unavyovitaja havimbambaishi wala kumtisha Lissu.
Ugoro mtupu. Una sababu gani ya kuamini TL hana passport ya Tanzania? Nionavyo mimi hatapata shida yoyote uhamiaji. Pale atapita kiulaini. Shida inaweza kutokea akitoka nje tu ndipo polisi watamdaka na kwenda naye kumhoji mambo ya kufikirika!
 
Aliyetafuna billioni 8 yupo nje na hulalamiki. Je, ni kwa sababu anakulipa?

Sioni mahusiano yoyote ya nilichokiandika. Labda nilichoongea kina ukweli ambao hujui utetee kuanzia wapi. Ngoja nilijibu hilo japo haikuwa mada yangu. PCCB walikuwa wanashinda hapo kwenye ofisi ya hizo 8b,na kuwahoji wabunge zaidi ya 60, ni vyema wakapeleka mahakamani hilo shauri, ili huyo anayenilipa afungwe, na mimi nikose wa kumtetea.

Nikushauri, waambie hao wanausalama sijui makachero, hakuna usalama wowote wanafanya hapo uwanjani kama kweli wapo, maana Lisu sio gaidi bali mwanasiasa anayerejea nchini kutoka kwenye matibabu. Na yuko tayari kupambana na boss wao, kada wa ccm kwa njia ya halali ya box la kura. Sana sana wanachokifanya hapo uwanjani ni kutumiwa kisiasa, na wala hakuna usalama wowote wanalinda, zaidi ya kusaka vyeo kutoka kwa huyo mwanasiasa anayewatumia.
 
Ulicho andika kwa kifupi ni uzushi, uzandiki. NOSENSE. Tundu atakujaje Tanzania kugombea urais akiwa anamiliki passport ya nchi nyingine?? Are you aware kwamba kiti cha urais wa Tanzania is strictly for Tanzanian nationals only.
 
Sasa wewe una elimu gani? Elimu unayopewa na mlevi wa konyagi?

Umevamia hii mada kichwa kichwa ndio maana unaishia kuongea siasa za kitoto. Ni vyema ungejikita kwenye masomo hata kama boom limepunguzwa. Huku unachekesha tu vinyago.
 
Umevamia hii mada kichwa kichwa ndio maana unaishia kuongea siasa za kitoto. Ni vyema ungejikita kwenye masomo hata kama boom limepunguzwa. Huku unachekesha tu vinyago.
Maisha yako yote utaishi kama mpinzani kwa sababu ya ukasuku na akili ndogo.
 
Sasa wewe una elimu gani? Elimu unayopewa na mlevi wa konyagi?
Naona ukweli unauma unakimbia mada.... Kma unajiamini unaweza mjadala kwa hoja, jibu swali nitakalokuuliza. Otherwise unazidi kuonyesha una elimu ndogo sana kuweza kuhimili mijadala inayohitaji ''shule''.

Ni hivi external auditors report na audit za NAO zinaonyesha kuna Unqualified opinion. Sasa unaposema 8 Billion zimeliwa basis yake ni ipi?

NB: Naomba ujibu kitaaluma sio kelele za Lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…