Tetesi: Vyombo vya Usalama vilivyojipanga kumpokea Tundu Lissu

Ndugu mjumbe, fafanua vizuri basi. Mbona unaandika kwa uoga wakati unatumia ID fekero?

Hizo ni tetesi tu mkuu.

Nimesikia watu wakinong'ona palepale nje ya uwanja nilipokuwa nikisubiri Taxi.
 
Tunajua vizuri, na hiyo itatumika kwa Lisu kwa nia ovu tu. Lissu sio mkimbizi wa kisiasa bali ametoka kwenye matibabu, na anarudi nyumbani. Na sio kurudi tu, anarudi na anataka kugombea urais. Na rais aliyepo hana uwezo wa kushindana naye kwenye uwanja wa kisiasa, hivyo atatumia madaraka yake vibaya kuzuia mshindani asiyemmudu. Hayo matisho mengine yote, yapo juu ya hofu ya ushindani wa box kwa rais aliye madarakani, ndio maana mamlaka zinatumika kwa maslahi binafsi ya rais aliye madarakani. Kwahiyo vikwazo vyote kwa Lisu ni kwa ajili ya kiburi na ulevi wa madaraka, as simple as that.

Haitumiki kwa wakimbizi wa kisiasa.

Nasikia huwa yatumika kwa watu wanoitwa "people of interest"

Au "blacklist"

Huu utaratibu upo kila nchi.
 
Tundu Lissu ameripotiwa kuwa ameaga rasmi huko Ubelgiji na ataunganisha ndege jijini Dubai kabla ya kutua JNIA.

Maofisa wa Uhamiaji pamoja na wale wa Usalama (wapya) waliopo JNIA wapo wanaendelea na shughuli zao.

Kuna mawili matatu hivi kutoka kwa maofisa uhamiaji na usalama.

1. Mgeni huyu (Tundu Lissu anatumia pasi ipi ya kusafiria)

Hivyo utaratibu wa kumpokea Tundu Lissu waweza kuchukua muda mrefu.

Kitakachopatikana kwenye mahojiano ndicho kitakachoelekeza hatua zitakazofuata.

2. Angalia madhumuni ya safari na sababu za kurudi.

3. Afisa uhamiaji kuridhika na majibu kulingana na sheria ya uhamiaji na kama kuna "ya ziada"

4. Idhinisha kuingia kwa kugonga muhuri wa kuingia au toa muda maalum ikiwa ni pasi ya kigeni.

5. Kama ni Tundu Lissu zuia "self check- in" na muongoze chumba cha mahojiano.

Hizi ni za hapa na pale.

JNIA imebadilika sana kuna watu wapya na wengi mno ambao wanahakikisha usalama wa uwanja, udhibiti wa kitokacho na kiingiacho na mazagazaga mengine.

Kuna kijana wa Nigeria alishindwa kueleza kwa ufasaha amepataje pasi ya kusafiria ya kitanzania ilhali hafahamu lugha ya kiswahili.

Wakamchukua kuingia kwenye vyumba vyao maalum kwa mahojiano maalum.

Msinitupie mawe mazee haya nimeyapata na mengine kuyaona hapo JNIA nilipotua mchana leo.
Mawe kutupiwa umeyataka mwenyewe kwa kutuwekea habari za uongo.
1. 28th July Fly Dubai wa Emirates Airlines hazijaanza safari za huko kwetu hadi 1st August. Lakini Brussels to Dubai Emirates inafanya kazi.
2. LISSU itakuwa anatumia pp ya zamani, hiyo PP inamruhusu kurudi nyumbani tuu na akifika hawezi itumia tena, na pia tuna ubalozi brussels anaweza pewa pp mpya kupitia ubalo,i au hata cheti cha go home.

Unaposema uongo, jaribu kuufananisha na ukaribiane na ukweli
 
Naona umekurupuka tu.

Soma kichwa cha mada na yaliyo ndani yake.

!. Umekubalana na mimi kwamba atafanya Transit Dubai.

2 Unasema "itakuwa anatumia PP ya zamani" hivyo huna uhakika na ukisemacho.
 
Haitumiki kwa wakimbizi wa kisiasa.

Nasikia huwa yatumika kwa watu wanoitwa "people of interest"

Au "blacklist"

Huu utaratibu upo kila nchi.

Ila hapa kwetu haitatumiki kwa manufaa ya nchi, japo inapaswa kutumika kwa manufaa ya nchi. Lakini hapa kwetu itatumika kwa maslahi binafsi ya kisiasa ya rais aliye madarakani, kwa ahadi za kugawa vyeo kwa watakaoteleza maagizo hayo haramu. Hilo liko wazi mbona.
 
Inatumika kwa maslahi, ustawi na usalama wa nchi husika.

Hivyo ukiwa "subject to" masuala kama uhaini, usaliti (kuuza siri za nchi) na kuwa "personal of interest" unakuwa wabanwa na kifungu hicho.

Hivyo huwezi kulalamika kwamba ni raisi kaagiza wakati vyombo vya ulinzi na usalama vinatekeleza kazi yao kwa mujibu wa sheria.

Kumbuka hata leo ikitokea Tundu Lissu ni raisi basi akitukanwa majukwaani na kejeli kuelekezwa kwake wadhani vyombo vyaulinzi na usalama havitaangalia sheria yasemaje?
 
Naona umekurupuka tu.

Soma kichwa cha mada na yaliyo ndani yake.

!. Umekubalana na mimi kwamba atafanya Transit Dubai.

2 Unasema "itakuwa anatumia PP ya zamani" hivyo huna uhakika na ukisemacho.
Sikubaliana nawe , hakuna transiting through dubai, unless ameomba tourist visa ya siku 14, na akaondoka Dubai baada ya 1st August. Hali inasemekana anatua Dar on 28th July .

Sikukuambia anatumia PP ya zamani, I told you anaweza itumia , kuna sheria kama uko njee ya nchi kwa muda na una pp ya zamani, unaweza itumia on a direct flight only kuingia nchini, na ukisha tua na kuongia hiyo PP hawezi tumika hata kama kitambulisho.
 
Kwa kuwa bavicha wamekuwa wakisisitiza uwepo wa janga la Covid 19 na linaua watz kwa namba kubwa basi ni simple tu anapokelewa, tunakolokochoa thermometer tunaipandisha degree kadhaa juu so akiwa na joto normal jumlisha point kadhaa tulizoongeza ngoma inasoma 39.2C. Anawekwa karantini siku 14, mpaka atoke tayari kawa neutralized na presha mtaani zimepungua na kawa wa kawaida hence easy kudeal nae.
 
Sikubaliana nawe , hakuna transiting through dubai, unless ameomba tourist visa ya siku 14, na akaondoka Dubai baada ya 1st August. Hali inasemekana anatua Dar on 28th July .

Sikukuambia anatumia PP ya zamani, I told you anaweza itumia , kuna sheria kama uko njee ya nchi kwa muda na una pp ya zamani, unaweza itumia on a direct flight only kuingia nchini, na ukisha tua na kuongia hiyo PP hawezi tumika hata kama kitambulisho.

Vipi kuhusu airlines kutaka PP iwe "Valid" kwa miezi 6 haiathiri chochote kwa msafiri?
 
Yaani amekuja wakati mbaya sana. Namuhurumia sana TL

Naona kwenye barua yao hata jina hawataki kumtaja ila nawaomba CDM tu watumie busara akapokelewe na familia yake aende zake kwake tukutane kwenye kampeni
Na kama akikamatwa taarifa zitajulikana tu ila sio waende wakajazane pale halafu Polis watapata upenyo wa kufanya watakvyo
Viongozi wa CHADEMA na Lissu mwenyewe wstumie hekima na busara pasipo kutafuta kiki ya kisiasa.

Tunaomba yasiyokee kama ya Ukonga Magereza kuwapokea viongozi wao.
 
Kweli Lissu ni chuma yaani tangu alipotamka kwamba anakuja vikao haviishi kila kiongozi anaonyesha umahiri wa desa lake ili kuon namna ya kumkomesha Lissu pathetic, Yaani Lissu akili zake ni sawa na watumishi wa Lumumba wote jumlisha kamati kuu.
 
Inatumika kwa maslahi, ustawi na usalama wa nchi husika.

Hivyo ukiwa "subject to" masuala kama uhaini, usaliti (kuuza siri za nchi) na kuwa "personal of interest" unakuwa wabanwa na kifungu hicho.

Hivyo huwezi kulalamika kwamba ni raisi kaagiza wakati vyombo vya ulinzi na usalama vinatekeleza kazi yao kwa mujibu wa sheria.

Kumbuka hata leo ikitokea Tundu Lissu ni raisi basi akitukanwa majukwaani na kejeli kuelekezwa kwake wadhani vyombo vyaulinzi na usalama havitaangalia sheria yasemaje?

Lisu alikuwa na hatari gani kwa nchi hii, aliwahi kuwa kitengo chochote chenye siri za nchi hii zaidi ya kuwa mbunge? Amewahi kuona mkataba wowote wa siri ndani ya nchi hii? Ni kweli hivyo vyombo vya usalama vinaweza kutumia hizo sheria, ila sio kwa maana ya hatari ya mtu kama Lisu, bali itakuwa ni kukidhi hisia za rais, kwa lengo la kusaka uteuzi wenye ulaji zaidi, lakini sio kwa weledi wa vyombo vya ulinzi vinavyojua wajibu wake.

Lisu alikwenda nje ya nchi kwa matibabu, kwakuwa mazingira ya hapa nchini hayakuwa sahihi kwake. Hakwenda nje ya nchi kama mkimbizi wa kisiasa, wala alipokuwa hapa nchini hakuwahi kujihusisha na makundi yoyote yenye silaha, wala kungia msituni. Alichokuwa anafanya ni vijembe na kejeli za kisiasa kwa rais aliye madarakani. Haya pia aliyafanya Slaa wakati wa JK maana huo ndio mchezo wenyewe kwa kisiasa. Lakini tuna tatizo la rais aliyeingia kwenye siasa, huku akiwa haziwezi, na hana uvumilivu wowote wa ushindani wa kisiasa. Na kwakuwa tuna vyombo vya usalama visivyo na weledi, ni rahisi kutumiwa kisiasa na wanasiasa kwakuwa wengi wao hawana uwezo na kazi hiyo.

Tatizo kubwa ni la kikatiba, ambapo rais anaweza kugawa vyeo, na vyeo hivi vinaambatana na vipato vikubwa, hivyo hapa maadili na weledi wa kazi unawekwa mbali, ili kusaka ulaji kwa kisingizio cha usalama. Lakini ukiwa na upeo mkubwa utaona ni siasa chafu tu, nothing else. Ukitaka kujua tuna vyombo vya usalama visivyojua wajibu wake, bali kukidhi utashi wa watawala, ndio hapo unaona Lisu alipigwa risasi kisha vyombo vya uchunguzi vinasema vinamsubiri dereva wa Lisu, serious? Saa unasema eti kuna wanausalama wako hapo uwanjani kama wanangojea gaidi, kumbe ni mwanasiasa, hasimu wa mwanasiasa anayeongoza nchi, shubamiit.
 
Tundu Lissu ameripotiwa kuwa ameaga rasmi huko Ubelgiji na ataunganisha ndege jijini Dubai kabla ya kutua JNIA.

Maofisa wa Uhamiaji pamoja na wale wa Usalama (wapya) waliopo JNIA wapo wanaendelea na shughuli zao.

Kuna mawili matatu hivi kutoka kwa maofisa uhamiaji na usalama.

1. Mgeni huyu (Tundu Lissu anatumia pasi ipi ya kusafiria)

Hivyo utaratibu wa kumpokea Tundu Lissu waweza kuchukua muda mrefu.

Kitakachopatikana kwenye mahojiano ndicho kitakachoelekeza hatua zitakazofuata.

2. Angalia madhumuni ya safari na sababu za kurudi.

3. Afisa uhamiaji kuridhika na majibu kulingana na sheria ya uhamiaji na kama kuna "ya ziada"

4. Idhinisha kuingia kwa kugonga muhuri wa kuingia au toa muda maalum ikiwa ni pasi ya kigeni.

5. Kama ni Tundu Lissu zuia "self check- in" na muongoze chumba cha mahojiano.

Hizi ni za hapa na pale.

JNIA imebadilika sana kuna watu wapya na wengi mno ambao wanahakikisha usalama wa uwanja, udhibiti wa kitokacho na kiingiacho na mazagazaga mengine.

Kuna kijana wa Nigeria alishindwa kueleza kwa ufasaha amepataje pasi ya kusafiria ya kitanzania ilhali hafahamu lugha ya kiswahili.

Wakamchukua kuingia kwenye vyumba vyao maalum kwa mahojiano maalum.

Msinitupie mawe mazee haya nimeyapata na mengine kuyaona hapo JNIA nilipotua mchana leo.
Mkuu Richard kwanza hali yao, pili usisite kutuletea vijimambo kama kawaida.
 
Hali yangu ni kheri kabisa ndugu, twamshukuru Mola.

Hivi vijimambo vimeanza kama tetesi tu, havina uhakika.

🙂
 
Lisu alikuwa na hatari gani kwa nchi hii, aliwahi kuwa kitengo chochote chenye siri za nchi hii zaidi ya kuwa mbunge? Amewahi kuona mkataba wowote wa siri ndani ya nchi hii? Ni kweli hivyo vyombo vya usalama vinaweza kutumia hizo sheria, ila sio kwa maana ya hatari ya mtu kama Lisu, bali itakuwa ni kukidhi hisia za rais, kwa lengo la kusaka uteuzi wenye ulaji zaidi, lakini sio kwa weledi wa vyombo vya ulinzi vinavyojua wajibu wake.

Lisu alikwenda nje ya nchi kwa matibabu, kwakuwa mazingira ya hapa nchini hayakuwa sahihi kwake. Hakwenda nje ya nchi kama mkimbizi wa kisiasa, wala alipokuwa hapa nchini hakuwahi kujihusisha na makundi yoyote yenye silaha, wala kungia msituni. Alichokuwa anafanya ni vijembe na kejeli za kisiasa kwa rais aliye madarakani. Haya pia aliyafanya Slaa wakati wa JK maana huo ndio mchezo wenyewe kwa kisiasa. Lakini tuna tatizo la rais aliyeingia kwenye siasa, huku akiwa haziwezi, na hana uvumilivu wowote wa ushindani wa kisiasa. Na kwakuwa tuna vyombo vya usalama visivyo na weledi, ni rahisi kutumiwa kisiasa na wanasiasa kwakuwa wengi wao hawana uwezo na kazi hiyo.

Tatizo kubwa ni la kikatiba, ambapo rais anaweza kugawa vyeo, na vyeo hivi vinaambatana na vipato vikubwa, hivyo hapa maadili na weledi wa kazi unawekwa mbali, ili kusaka ulaji kwa mantiki ya usalama. Lakini ukiwa na upeo mkubwa utaona ni siasa chafu tu, nothing else. Ukitaka kujua tuna vyombo vya usalama visivyojua wajibu wake, bali kukidhi utashi wa watawala, ndio hapo unaona Lisu alipigwa risasi kisha vyombo vya uchunguzi vinasema vinamsubiri dereva wa Lisu, serious? Saa unasema eti kuna wanausalama wako hapo uwanjani kama wanangojea gaidi, kumbe ni mwanasiasa, hasimu wa mwanasiasa anayeongoza nchi, shubamiit.
Aliyetafuna billioni 8 yupo nje na hulalamiki. Je, ni kwa sababu anakulipa?
 
sasa RAIS unamlinganisha na Tundu?
Hii ndio double standard inayopingwa kila siku. Sheria inawahusu wapinzani tu, Lissu alipogombea urais TLS waliitwa wanasiasa ila mwanaCCM (tena aligombea urais CCM 2015) alipochukua fomu haikuonekana TLS imeingiliwa na siasa!!

Jifunzeni kwa Kenyatta, licha ya Odinga kujiapisha na Mombasa kutaka kujitenga na Kenya hatukuona risasi ikirushwa na leo hii wakaishia kupatana kidiplomasia tu. Badala ya kutumia nguvu ilipaswa hta Polepole naye amkaribishe ili tu mambo yapite kwa amani maisha yaendelee sio kila kiti kutumia minguvu. Afterall mtamuibia kura hiyo October ssa hofu ya nini?

Tuna TISS ya kipumbavu sana hii nchi hta cjui huwa wanawatoa wapi, reasoning zero kabisa.
 
Back
Top Bottom