Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasomi uchwara wamejazwajazwa mpaka kwenye high positions what do you expect?Tatizo letu ni kutanguliza Siasa hata kwenye mambo yasiyotaka siasa.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Siasa na ufisadi vimeharibu sana elimu yetu,kutoka chini mpaka juu kabisa.TOP 5 UNIVERSITIES IN EAST AFRICA:1.University of Nairobi: 7th in Africa2.
Makerere: 16th in Africa3.
Kenyatta: 28th in Africa4.
Strathmore: 31st in Africa 5.
UDSM: 37th in Africa![]()
Credit : the citizen
VyetifekiInasikitisha sana
Ni msomi kabisa huyo,ndio maana hizo rank tunazidi kuporomoka kielimu.Usikute na wewe ni msomi.
Misimamo mikali sio sifa, sifa ni kuwa reasonable na kubadilika pale unapopata knowledge mpya, sio kujisifu una misimamo mikaliWasomi wa zamani walikuwa wakiibua hoja mbali mbali na misimamo mikali siku hizi kazi ni kujipendekeza tu bila aibu
Ili kufikiriwa kupewa Anita kwa manufaa ya magimbi yao binafsi badala ya kuzingatia maslahi ya Umma na vizazi vya watanzania.
Na wewe usikute ni msomiUsikute na wewe ni msomi.
Unakaa na graduate unaongea nae unaona hana tofauti kabisa na mtu ambaye hajaelimika (kupata elimu) kabisa.Siasa na ufisadi vimeharibu sana elimu yetu,kutoka chini mpaka juu kabisa.
Vyuo Vikuu vya Tanzania vimeporomoka vibaya kwenye orodha ya Ubora huku Kwa Afrika Mashariki Udsm ikishika namba 5 EAC na namba 37 Afrika na viwango vya Ubora vikitanguliwa na Vyuo vya Kenya na Uganda.
Vyuo vingine kama Udom haviko hata top 100.
View: https://www.instagram.com/p/C3dD1SNIJqR/?igsh=MTNyaGl6dmhlb2J0dA==
My Take
Kwa mporomoko huu sijui ni nani atatamani kuja kusoma Tanznaia au kutambua degree za Tanzania.
View: https://www.instagram.com/p/C3dJHIbIQrU/?igsh=bHNldTNpd3pnNjZ0
Tanzania kwenye elimu ni uozo mtupu. Viongozi wa CCM wanagawiwa degree kama wanavyogawiwa kura za wizi. CCM ni takataka katika kila jambo.Siasa na ufisadi vimeharibu sana elimu yetu,kutoka chini mpaka juu kabisa.
Wamekalia Uchawa tuTOP 5 UNIVERSITIES IN EAST AFRICA:1.University of Nairobi: 7th in Africa2.
Makerere: 16th in Africa3.
Kenyatta: 28th in Africa4.
Strathmore: 31st in Africa 5.
UDSM: 37th in Africa![]()
Credit : the citizen
Lecturer anapiga Somo mfano anatoa Ccm
Wajitahidi kubadili uendeshaji wa kile chuo, watumishi wanahali ngumu sana ya maisha!Pale jalalani bado panajikongoja.