Vyuo Vikuu 2 vya Tanzania ndani ya Top 10 kwa Ubora wa Elimu Kusini mwa Jangwa la Sahara. UDSM haimo

Vyuo Vikuu 2 vya Tanzania ndani ya Top 10 kwa Ubora wa Elimu Kusini mwa Jangwa la Sahara. UDSM haimo

Nchi ya kwanza kwa africa mashariki na kati watu wake wanaopenda ngono, Ni TANZANIA

Ni ajabu na kweli, lakini huo ndio ukweli wenyewe!
 
TOP 5 UNIVERSITIES IN EAST AFRICA:1.
🇰🇪
University of Nairobi: 7th in Africa2.
🇺🇬
Makerere: 16th in Africa3.
🇰🇪
Kenyatta: 28th in Africa4.
🇰🇪
Strathmore: 31st in Africa 5.
🇹🇿
UDSM: 37th in Africa
Credit : the citizen
Udsm walimu wamekuwa machawa unategemea nini
 
Vyuoni tumeshuhudia mabinti wanatoka na malecturer usiku wa kuamkia U.E wanapewa possible wanasolve na wenzao wa karibu na kesho yake wanapasua paper.

Vyuoni tumeshuhudia wale machawa wa malecturer wakipewa favor za kutosha na kupelekea kua na ufaulu mkubwa.

Chuoni nimeshuhudia classmate anakula supplementary somo ambalo yupo very competent. Eti kisa wakati wa oral exam alikua anajibu maswali kwa confidence mpaka lecturer akachukia! Yani unachukiwa kwasababu una akili!

Chuoni nimeshuhudia rafiki yangu akiwa discontinued, na alikua among the best in class eti kisa kuna binti lecturer anamtaka na jamaa alikua na ukaribu nae. Akaundiwa zengwe na mwishoe hakumaliza chuo!

Kwa hali hii hatutaweza compete at the highest level na mataifa mengine labda hiki kizazi cha sasa kipite!!!
 
TOP 5 UNIVERSITIES IN EAST AFRICA:1.
🇰🇪
University of Nairobi: 7th in Africa2.
🇺🇬
Makerere: 16th in Africa3.
🇰🇪
Kenyatta: 28th in Africa4.
🇰🇪
Strathmore: 31st in Africa 5.
🇹🇿
UDSM: 37th in Africa
Credit : the citizen

Wenzao wabunifu, vyuo vikuu vinahusika kwenye mapinduzi ya teknolojia n.k
 
TOP 5 UNIVERSITIES IN EAST AFRICA:1.
🇰🇪
University of Nairobi: 7th in Africa2.
🇺🇬
Makerere: 16th in Africa3.
🇰🇪
Kenyatta: 28th in Africa4.
🇰🇪
Strathmore: 31st in Africa 5.
🇹🇿
UDSM: 37th in Africa
Credit : the citizen
Vyuo vyote vikubwa Tanzania vinaongozwa kisiasa hasa UDSM na UDOM ndio wamezidi


Maprofesa kutwa kujipendekeza Kwa viongozi ili wapate kula teuzi

Hapo ubora unatokea wapi?
 
Ukiamua kuwa 'academician', jitahidi uishi ki 'academician'; toa machapisho ya kutosha yazagae huko duniani; vyuo kuingia ubia na vyuo vya nje, kwa kubadilishana wakufunzi n.k Pia kuongeza/kufanya ufadhili wa masomo kwa baadhi ya watu wanaotoka nje, ili wakatutangazie huko duniani.

Leo hii ukitembelea mtandaoni utaona ufadhili wa masomo kusoma US, Canada, Uk n.k​
Naona serikali ni kama imekitosa mazima The Hill, ambacho ndio jicho la TZ kwa higher education. Kwa mambo yanayoendelea pale, sio rahisi kufikia level za kimataifa.

First impression starts with watumishi husika ( mind set, comfortability, readiness and proudness),

Frankly speaking, watumishi hawako proud and readiness na working environment ya pale the hill.

Serikali lazima ichukue hatua haraka
 
Sasa kama udsm hali iko hivyo,huko kwingine hali iko vipi?shida ya sisi watanzania tumewekeza kwenye vitu vya kipumbavu tu.wenzetu Kenya linapokuja suala la elimu hawana mzaha kabisa
 
Back
Top Bottom