Vyuo Vikuu 2 vya Tanzania ndani ya Top 10 kwa Ubora wa Elimu Kusini mwa Jangwa la Sahara. UDSM haimo

Vyuo Vikuu 2 vya Tanzania ndani ya Top 10 kwa Ubora wa Elimu Kusini mwa Jangwa la Sahara. UDSM haimo

Mshaambiwa hivyo vyuo vikuu ni extension ya form 6 huko watu ni kama watu wanaendelea na secondary education hadi form 10.

Vyuo vinatoa tafiti za kuisifu ccm vitakuwaje bora? Vyuo vinatoa products kama sampuli ya Dr. Bana, Mkandala, Kabudi, Feleshi msitegemee hata siku moja viwe bora Africa
 
Sasa tulitaka vyuo gani ndiyo viwe kwenye hiyo nafasi,tusipende kulalamika na si dhani kama yalikuwa ni mashindano ya vyuo bora.Sisi ambao hatujafika huko vyuoni tunaona kawaida TU.
 
Stellenbosch University ilipokua namba moja ilikua ukienda kusoma hata Certificate yake ilikua na nguvu sana Wageni wengi wamesoma hapo maana wenyeji walikua wanakichukia kwa kusema ni cha Kaburu kina ubaguzi...Pretoria University kinaitwa Tshwane University sasa hivi...
 
Nakumbuka enzi nasoma udsm ilikua haitoki top ten... Kuna kipindi ilikua hata top five unakuta ni vyuo vya south Africa, egypt na Udsm ndani.... Nowadays mambo yamebadilika ni uchawa tu nasikia hata level square hakunaga...
 
Lini mkuu mbona uzalendo ukizidi unaonakana useless, haijawahi kutokea Udsm kua top 10 African university labda unamanisha makerere nchini uganda.
 
Lini mkuu mbona uzalendo ukizidi unaonakana useless, haijawahi kutokea Udsm kua top 10 African university labda unamanisha makerere nchini uganda.
Mkuu miaka kumi na nne iliyopita udsm ilikua haitoki top ten na sio top ten tu hata top five ulikua pia ilikua inaingia... Kuna kipindi Makerere walikua wachumba sana kwa udsm... Tafuta source za miaka hiyo utaona mkuu
 
Lini mkuu mbona uzalendo ukizidi unaonakana useless, haijawahi kutokea Udsm kua top 10 African university labda unamanisha makerere nchini uganda.

Umemkamata huyo muongo, hamna siku hata moja chuo chochote EAC yote kimefika top 5, yeye anasema UDSM iliwahi kufika top 5.
 
Mkuu miaka kumi na nne iliyopita udsm ilikua haitoki top ten na sio top ten tu hata top five ulikua pia ilikua inaingia... Kuna kipindi Makerere walikua wachumba sana kwa udsm... Tafuta source za miaka hiyo utaona mkuu
Kalete hizo data mkuu kama unayoyote acheni ushabiki Udsm haina research za kukifanya top leading versities in africa, kumejaa siasa na uswahili mwoingi, no academics any more.
 
Politics politics politics mpaka vyuoni, is why quality ya elimu inashuka. Wakufunzi hawahangaiki tena na kufundisha kwa nguvu, wanafunzi the same

All the know wakijiunga chama fulani watatoka kimaisha. Regardlesss marks watazopata
 
Back
Top Bottom